4-2-3-1 ni mfumo mzuri unaoifanya timu kuwa vizuri katika maeneo mawili kwa pamoja: defensively na offensively. Kinachofelisha huu mfumo ni mapungufu ya watu sahihi kwenye namba ya kiungo mkabaji.Tulimwambia akitaka matokeo aachane na 4 2 3 1.
Vipi kipigo cha jana pale ETIHAD?Ole kuendelea kuwepo ni kuzid kuongeza miaka mingine 5 bila kikombe chochote man utd ....
Tulimwambia akitaka matokeo aachane na 4 2 3 1.
Tunakuja hapo OT jumamoss kupasuana ,kabla ya international break ...Vipi kipigo cha jana pale ETIHAD?
Emptyhad vijana wa vierra wakafanya yao..Ole kuendelea kuwepo ni kuzid kuongeza miaka mingine 5 bila kikombe chochote man utd ....
Patamu hapo labda aue mmoja hapo kati kati ya fred au tommy ndo pogba acheze ingawa sidhani kama atacheza mfumo huu kila mechi maana itamaanisha tunacheza bila no 7 wala 11 sasa ndugu sancho na Rashford kuwa wanatokea benchi kila mechi ni utata hawawezi kubali.
Ole kawateka akili ...Emptyhad vijana wa vierra wakafanya yao..
Ushindi game Moja,Zilee ole out Zote kimyaaaa[emoji14][emoji14]. Kelele za mashabiki haziwezi kufanya lolote kwenye kumfukuza kocha kama bodi isipo amua yenyeweee... Mbali na hapo ni kupoteza muda tuu.Kikubwa Ww ishia kuangalia mechi,ukalale kwenu.[emoji1787][emoji1787] Kuna watu wanajikuta wachambuzii WA sokaa daaah.Bongo bwana [emoji28][emoji28][emoji28]Nyumbu ni nyumbu tu ....
Tayari yameshakubali ole abaki [emoji22][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
na game ya chelsea mje na mfumo huo na beki awe Maguire.3-5-2...
United tumemtaka Conte,Ole akaona isiwe shida..amemcopy Conte fasta.
3-5-2 ina maana Sancho,Amad,Pellistri watafute la kufanya..kama ni kweli Ole atastick na hii fomesheni
Shaw na AWB je wanaweza kucheza kama Wing backs efficiently?.
========
De Gea
Lindelof Maguire Varane
AWB McFred Bruno Shaw
Ronaldo Cavani
=======
***** hawa kunguni watajua hawajui.Sema ole bonge la kocha mpeni muda mkutane na Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa nini Bisaka asirudi kwenye back 3 na Lindelof acheze kama wingback??Hapo ndio Dalot anapoingia! Japo sio mzuri kama bissaka kwenye kulinda ila kwenye kushambulia yuko njema kiasi chake.
Kuna shabiki kamuuliza shabiki wa man u vipi kocha haumfukuzi tena.Nyumbu ni nyumbu tu ....
Tayari yameshakubali ole abaki [emoji22][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]