Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hana huo uwezo bana yule jamaa mbinu pia hana, ngoja tuone kama atabadilika na ujinga wake ila siamini mtu amekaa miaka 4 sasa tunacheza hovyo atabadili hili kwa wiki 2 okay ngoja tuone.
 
Kwa hiyo juzi klopp kapiga makocha wawiki yaani Ferguson na ole goli 5 ......
 
Nahisi huyu jamaa atakuwa na siri nyingi za uongozi, anyways nilirudi nikidhani kocha atafukuzwa but now nimerudi kwenye msimamo wng wa kuachana na hii timu mpk aondoke huyu mmasai, ze-dudu utajichosha tu mkuu.
 
Aisee hii timu hii,team rebuild imekuwa ni kazi Sana kwetu,kujenga timu ni kazi sanaaa huwa ndo Mana kila siku nawapongeza Sana Bayern Munich wale jamaa wanajua wanachokifanya Tena ni kwa miaka mingi Sana...
Hawako kwenye ligi yenye ushindani hivyo even an average team inaweza kufanya vizuri kwao.

Angalia msimu wako na Niko Kovac walistruggle baada ya kumwajiri Hans Flick wakarudi kileleni na kutwaa ubingwa.

Kwahiyo wao kwenye ligi hata kama timu yao haina muunganiko mzuri inaweza kufanya vizuri taratibu mpaka inarudi kwenye mstari.

Ligi ya Epl kuna matimu kama 10 yote yanakaribiana sana kiuwezo hivyo ukiwa na timu bado haijaunganika lazima ya kuadhibu kila mechi
 
Nahisi huyu jamaa atakuwa na siri nyingi za uongozi, anyways nilirudi nikidhani kocha atafukuzwa but now nimerudi kwenye msimamo wng wa kuachana na hii timu mpk aondoke huyu mmasai, ze-dudu utajichosha tu mkuu.
Mkuu haya mambo ya kususia timu tushafanya sana lakini hayafanyi kazi.
Rudi kwenye jukwaa letu tuwe tunaliwazawana hapa kwa kumkosoa ole kwa keyboard.
 
Nahisi huyu jamaa atakuwa na siri nyingi za uongozi, anyways nilirudi nikidhani kocha atafukuzwa but now nimerudi kwenye msimamo wng wa kuachana na hii timu mpk aondoke huyu mmasai, ze-dudu utajichosha tu mkuu.
Shetani mwekundu unataka kwenda wapi Sasa
 
Wachezaji wakikukataa utachezea vipigo kila leo we ona juzi tumefungwa magoli mepesi mno.....
 
Tafuta timu uhame,Bodi ya timu imekataa kusikiliza majungu yenu.
Nahisi huyu jamaa atakuwa na siri nyingi za uongozi, anyways nilirudi nikidhani kocha atafukuzwa but now nimerudi kwenye msimamo wng wa kuachana na hii timu mpk aondoke huyu mmasai, ze-dudu utajichosha tu mkuu.
 
If #mufc do sack Solskjær, the Glazers are keen to bring in a manager for the long term who shares the club’s traditions of blooding youngsters and playing attacking football [Times]

manutd |
#GGMU
mambo yanaanziaga kuharibikia hapa kwenye blood na DNA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…