Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,731
aloooMkuuu nimekuambia uwe unaangalia Ronaldo akicheza kwa jicho la tatu.. Ronaldo ni mzigo kwenye team.. tena mzigo mkubwa.. kama jana amefanya nn cha maana... Ronaldo games zake n za Norwich City.. Newcastle City.. Burnley.. etc
Tulia kijanaa huna unachokijuaa.. Magwaya utasemaje sasa???Mkuuu nimekuambia uwe unaangalia Ronaldo akicheza kwa jicho la tatu.. Ronaldo ni mzigo kwenye team.. tena mzigo mkubwa.. kama jana amefanya nn cha maana... Ronaldo games zake n za Norwich City.. Newcastle City.. Burnley.. etc
NamshangaaTulia kijanaa huna unachokijuaa.. Magwaya utasemaje sasa???
Kama mtu vile kumbe ni beki kilaza kuliko wote epl halafu captain
Harry maguire"The EPL table is gradually taking shape. The title contenders are being separated from the title pretenders, the oil in OLE is finished and Old Trafford is in darkness. Harry Maguire is more of a pandemic to United than COVID-19"
Peter Drury 😂😂
Bila mmasai ole sendeka kufurushwa
Tusahau kabisa kuhusu
Top four epl na ucl tutatolewa soon baada ya kuvuka hatua ya makundi.
Tabu timu inacheza Ili imlishe CR afunge, maana ni babu.Mpaka msimu uliopita unaisha
Na manzoni mwa msimu hours ole alikua vizury sana greenwood akiwa moto sana lakn
Baada ya ronaldo kuja asee vitu vimechange
Japo sinaukika kama ronaldo anasababisha tusiposses mpira