Tupooooo mkuuuu.. Ole miaka miaaaaHumu siku hizi naingia mara chache chache
Hivi bado kuna mashabiki wa Man Utd wanaomuunga mkono Ole
Mimi ninachojua anasapotiwa na mashabiki wa timu nyingine/pinzani tu
Laaana ya kumuondoa Van ghaal kimagumashi wakimtaka Morinyo Manu acha wakipate.Van ghaal aliingia EPL pamoja na klop wangemuachia timu ingekuwa mbali.Lakini kwa ubaguzi wao Waingereza acha mjerumani awashughulukie washenzi waleMaskini Fergie wa watu [emoji23][emoji23]View attachment 1985619
Lingeachia kazi mapema. Lisingepata zomea zomeaEmbarrassing!
Manu walimdhalilisha sana Van ghaal yaani aliwaletea Europa Bado wakamfukuza akiwa njiani kurudi.Nina hasira nao hao nguruwe.Klop ameniondolea stress za miaka ileeeee.Jinga manu
Hiyo inaitwa jogoo wa shamba kawika mjini saa nane mchana bila aibu,wajameni, jamaniNaona jogoo leo anajilia kakitu tu ka huu mtetea Man U [emoji23]View attachment 1985630
Ronaldo anademka Tu mauno
Bwana amesikia ombi lako mtumishiNataka tupigwe tano
Ole is the WORST united manager post SAF era