Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ole alishakubali timu imemshinda

viongozi ndio wajinga hawataki kumfukuza
 
Ndugu zangu wa Manchester wenzangu umu, mim nilishahacha kutazamanj mechi zetu mpaka OGS atakapondoka

Watu wanasemaga wazungu wana akiri ila wazungu waliopo ktk bodi ya wakurugenzi ya Man utd hawana akili
 
Tena eleza vizuri Mou alifungwa 3 akiwa hana kikosi cha kueleweka, akina Rio Ferdinand wakawa wanaleta fujo ati Man Man utd imekuwa timu kwa Liver,leo hata siwaoni.
 
Tena eleza vizuri Mou alifungwa 3 akiwa hana kikosi cha kueleweka, akina Rio Ferdinand wakawa wanaleta fujo ati Man Man utd imekuwa timu kwa Liver,leo hata siwaoni.
Nimeeleza mkuu, si nimetaja silaha alizonazo Ole
 
Wakuu hii imechi ilivyoanaza tu nilihisi tutapigwa nyingi, kuna mtu mwingine naye alihisi ivyo?
 
Hata chelsea kipindi ipo kwa Lampard walisema ivyo ivyo ila baada ya Tuchel kuchukua wachezaji wote wapo fire,

Tatizo la Man utd bodi ya wakurugenzi, tuanzie hapa, walitumia kigezo gani kumpa kazi OGS, yaan ilitumika CV ipi kuamini OGS angeirudisha Man utd ktk enzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…