Arsenal kushinda vimechi mfululizo tayari mmeshajiona title contenders, unapata wapi ujasiri wa kuja kutoa ushauri hapa ? Ni sawa na ukuni uliopo darini unamcheka mwenzie jikoni !
Hawa wote hawana hadhi ya kucheza United trust me sio kocha tu mtakuwa mnamwonea hao wachezaje ni averega players kabisa wanastahili kucheza norwish city au stoke city