The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hahahahah wewe wa kusema maneno haya?Hii timu inatia aibu sana, kuanzia leo sitashabikia hii timu mpaka kocha aondoke mana haiwezekani una kikosi kama hiki na bado hueleweki unacheza nn, so mashabiki wa man u kwaherini mpk huyu mbwa wa double pivot akiondoka.
Hii timu inatia aibu sana, kuanzia leo sitashabikia hii timu mpaka kocha aondoke mana haiwezekani una kikosi kama hiki na bado hueleweki unacheza nn, so mashabiki wa man u kwaherini mpk huyu mbwa wa double pivot akiondoka.
Nlishakwambia mkuu hamia arsenal lakini unatuchkulia poa. Kuanzia msimu wa 2023/2024 Arsenal itakuwa ni kushinda makombe tu shauri yakoHii timu inatia aibu sana, kuanzia leo sitashabikia hii timu mpaka kocha aondoke mana haiwezekani una kikosi kama hiki na bado hueleweki unacheza nn, so mashabiki wa man u kwaherini mpk huyu mbwa wa double pivot akiondoka.
Tano za wapi wewe si tunataka 7Bado Salah atupie mawili.... hapa leo tunaondoka na tano.
Wakipigwa saba mwanetu Ole wata muondoa.Tano za wapi wewe si tunataka 7