pogba hakabi, hawezi jaza pressing players zaidi maana kuna bruno, greenwood, rashford, Ronaldo sasa Pogba alivo mzito ataeza kaba mtu kweli ulioa avyoanza na matic tukagongwa nne safi na Leicester... apo anaingiza pogba daika ya 60 huko azidishe playmaking