Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mpaka sasa magwaya anafanya makosa ya kijinga ila kocha aachi kumpanga.
 
Huwa nawaza sijui ana bifu gani na Beily.!!! Makosa ya Magwaya ni yaleyale kila mechi.
Anachofanya ole ni Sawa tu na Gomez kumuacha nje Kennedy ...kitasa wa mipira ya juu na chini muda ambao anahitajika ......sijui huwa n ubaguzi ama ni nini shabbash.....

Siku ya hovyo sana Leo ....
Simba na manutd .......dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…