Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bruno wkt anakuja hakuwa na tatizo hili, wengi tulimuona ni master wa passes za macho lkn baada ya kuadapt mbinu za kocha bora duniani ndo amekuwa hivi.
Bruno Fernades hata Sporting alikuwa hivyo hivyo.

Rejea scouting report za dirisha kubwa la usajili zilionyesha Bruno anapoteza sana mipira.

Ukiangalia uchambuzi wa Daemusin kwa kutumia rejea mbalimbali amekuwa akiluzungumza mara kwa mara.

Kama Bruno asingekuwa na uwezo mkubwa wa kufunga na kutengeneza nafasi probably angekuwa the worst signing kikosini.
 
Wewe unaongelea sporting mm naongelea man u, kipindi anasajiliwa tulisema ni master wa passes na tuliona, but leo amekuwa anapoteza mipira why? Alafu unasema kama angekuwa hatengenezi nafasi, yn ange, so hyo haiwezekani mkuu ni sentensi ambayo haipo.
 
Mimi nadhani pogba ndiye anayepoteza mipira sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…