Hakuna cha plastic fan hapa, yani unataka kusema real fan ni kukaa kimya bila kuusema ukweli hata kama team inafanya vibaya? Nani asiyeuona ubovu wa Man U zaidi ya wapumbavu tu?
Haya jamaa hapo juu anakwambia kwenye mikeka yake mingi huwa anaiua Man U kutokana na ubovu wake alafu unamuita Plastic fan, unataka kusema ili awe real fan ilitakiwa awe anaipa tu Man U aliwe hela zake sio? Kama ni kweli alikuwa anaiua unafikiri ni mara ngapi kashinda mikeka yake?
Hauna u-real fan wowote, wewe ni boya tu.