Ole inabidi atambue kuna tofauti ya kuwa patience na plan zako na plan kuonekana kufeli, huyu jamaa plan zake zimefeli na hataki kukubali ukweli kuwa zimefeli hazifanyi kazi maana hakuna sababu ya kuchezesha Macfred kama kufungwa kuko palepale sasa analinda nini.