Unamsajili mchezaji wa miaka 36 unategemea akusaidie kufanya pressing ?? Mchezaji mwenyewe ni CR7
Timu nzimu inacheza kama wachezaji wamekutana mara ya kwanza hawajawahi ku-train pamoja mpaka leo tuna matatizo kwenye idara zote defence,midfield na striker
Uwezo wa OGS kufundisha ni mdogo sana na hilo halijaanza kuonekana jana ni almost miaka 4 now anafundisha timu na siku zote tunasema tunatukanwa hapa na most players aliowanunua amwshindwa kuwatumia .I think only Bruno na Cavani ndio wamefanya vizuri so far (Bissaka,Maguire,James,Ighalo ) hawajaleta positive impact Telles,VDB nao ameshindwa kuwatumia kabisa