Timu ina talents kubwa sana aisee..full of stars.
Kocha kashindwa kutengeneza balance,system of play,defending system na wachezaji kuwa na ari pamoja na umakini.
Ata Antonio Conte' pia sio mbaya akasuka mipango ya kunyanyua kwapa..hiki kikosi ni aibu kivurugike bila hata ya kikombe cha uji.