Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bila kusahau upuuzi wa DNA utadhani mwanasayansi.
 
Msimu uliopita tulipofungwa goli Sita na Tottenham jamaa alishinda mechi mfululizo mpaka mwezi January huku alipoanza kurelax tena ndipo Man city wakatupita.
 
Mkuu ukipata muda fuatilia uchambuzi wa Steve Macmanaman na Andy Townsend kuhusu.

Kuwa na Laissez faire Manager huwezi kufika popote aisee.
 
Kweli, mi natamani aondoke akapate timu ya kiwango chake. Haiwezekani mtu acheze vizuri akiwa timu ya taifa ambayo anakutana na mafundi wenzake na akicheza vibaya kwenye hili litimu letu libovu tumuone eti yeye ndiyo ni mbovu?
Pogba anaonewa tu hii timu haina system of play inayoeleweka.

Ni kama mazoezini huwa wanaenda kufanya mazoezi ya kukata upepo tu.
 
Leo nmejua kua kumbe nina kipawa ndani yangu Nchangie nauli wadau nifike jijini Manchester nkamuue kocha ili iwe faida kwa sisi wote duniani
 
sista sista - crayz Gk ft pauline zogo


dedication to all nyumbus fans


Sent using motorola 78
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…