This time ndo muda wa Klopp kushinda Old Trafford.. na ili pressure izidi kuongezeka kwa huyu Ole..Pole Mangi. Nakungoja next Sunday.
Pole mkuu. Kuna chaliangu mmoja anasema team imekuwa kubwa kuliko Ole. Yani team ipo ila kocha hamna.This time ndo muda wa Klopp kushinda Old Trafford.. na ili pressure izidi kuongezeka kwa huyu Ole..
Anatuumiza sana aisee,tulitegemea msimu huu tucheze vizuri ila ndo tunacheza vibaya kuliko kawaida.
I'm totally flabbergasted.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakumbuka mou alifukuzwa baada ya mechi gani??He has to go before the Liverpool game. It’s getting ridiculous. World class players playing like an uncoached Sunday league team.
the goal for 3-2 says everything. Shambolic.
De Gea licha ya kupigwa goli 4 bado yeye ndo Man of the Match kwetu,hii inaonyesha ni kiasi gani hii timu inacheza utopolo.
Ole has to go now.
Timu ina talents kubwa sana aisee..full of stars.Pole mkuu. Kuna chaliangu mmoja anasema team imekuwa kubwa kuliko Ole. Yani team ipo ila kocha hamna.
Anamtaka Luis Enrique OT.
Ulegend uchwara una mlinda sana Ole..Unakumbuka mou alifukuzwa baada ya mechi gani??
Next week nitakuwa hapa kuchekelea tu
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona ashatupiga 4 msimu uliopita palepale OTThis time ndo muda wa Klopp kushinda Old Trafford.. na ili pressure izidi kuongezeka kwa huyu Ole..
Anatuumiza sana aisee,tulitegemea msimu huu tucheze vizuri ila ndo tunacheza vibaya kuliko kawaida.
I'm totally flabbergasted.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo!Wazee wa Sancho.
Duu hakuna mtu humo labda contePole mkuu. Kuna chaliangu mmoja anasema team imekuwa kubwa kuliko Ole. Yani team ipo ila kocha hamna.
Anamtaka Luis Enrique OT.
Wakuu... hii timu bodi wamuondoe lengai watuletee tactician kama Alan Padrew.
Bruno fernandez hafai kuwa Man u, tupate kiungo fundi kama Joe Allen.l (Welsh Xavi)
Luis Enrique ni kocha mzuri sana na anacheza soka la kisasa sana mbona..... Mimi top 3 yangu niDuu hakuna mtu humo labda conte
Ww ndio huna akili ndio maana wamesukumizia bomba 4 bata maji wwHuna akili.
Msikate tamaa, bado mapema sanaOle Out..
Ww ndio huna akili ndio maana wamesukumizia bomba 4 bata maji ww
Yaani mi nimekaa hapa namtafakari OLE simuelewi. Sijui Bailly alimkosea nini?But Erick baily alikuwepo pale nje, kwanini kamlazimisha Maguire kucheza?
Kama angeanza baily na tukapata haya matokeo tusingemlaumu ole kumuacha Maguire kwa sababu tunajua hajapona vizuri au kama kapona Hajapata muda wa kufanya mazoezi na timu.