Kwahiyo mkuu mnataka mcheze tena na Leicester?? Ili mfungwe tena utuletee lawama???Next EPL matches
Liverpool, Tottenham, Leicester City
ndio leicester city ni wajinga kwa mujibu wa matokeo ya mechi zao ukitoa hii ya leo, tokea ligi ianze hii ni mechi ya pili kushinda.Jiheshimu mkuu. Yaani unawaita Leicester wajinga??
Alipaswa ku step down muda mrefu sana kama kweli anaipenda United kama anavyotuaminishaOGS kama kweli anaipenda United huu ni wakati muafaka kwake kujiuzulu,tulishasema hii timu haiwezi
Asifukuzwe mpka mwez wa 1 ndio afukuzweTupigwe tu hakuna namna mpaka waone hafani, next game tupigwe tena.
Huna akili.Maguire hakuna beki cr7 hakuna mchezaji kuna wakati nawaza hata Ole nae hata hatia si kila Game lawama ziwe kwa kocha hapana wachezaji baaadhi hawafai kucheza hana man u MF CR7