ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,144
Mimi nimeshaweka msimamo wangu dhidi ya Ole mechi ya Southampton kuwa sina muda tena wa kumtetea Ole.Kama wataona waendelee naye sawa hamna shida, wewe mkuu ulimtetea sn but now umeona ubovu wake ila wale malegend wetu bado wanasema apewe muda.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sijaona beki mpumbavu kama Maguire pale England, hili goli ni lake, pale beki mwenye akili anautoa uwe wa kurusha yeye katoa kona wakati kulikuwa hakuna sababu ya kufanya hivyo kabisa.
Maguire hakuna beki cr7 hakuna mchezaji kuna wakati nawaza hata Ole nae hata hatia si kila Game lawama ziwe kwa kocha hapana wachezaji baaadhi hawafai kucheza hana man u MF CR7Timu inacheza hovyo sn.


Sisi majirani tupo na Ole bega kwa bega.
MANYUMBUUUUUUUUUUUKwa hali hii acha tuendelee tu kuitwa manyumbu