D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Asepe tu kubabake, tena akisepa nafanya party ghettoNewcastle United’s recruitment team have made contact over the possibility of signing #mufc’s Anthony Martial in January. Newcastle have made formal contact with United, as well as the player’s representative. [@StrettyNews]
iwe ni kwa kiwango bora cha fedha na si tu bora aondoke, newcastle united watakuwa kwenye presha ya kutaka kuvutia wachezaji mashuhuri na bila ya shaka usajili wa martial na wachezaji wengineo wasiokuwa na nafasi kwenye timu kubwa (kwa timu zilizopo uengereza) au wale wafuata maslahi zitakuwa ndio target zao.Asepe tu kubabake, tena akisepa nafanya party ghetto
tatizo united sio wachezaji ni cocha, ngona newcastle wawachukue martial, bailly, lingard na vander beek uone OLE atakavyoumbukaAkiwa united hafanyi ila wales anafanya
Akajambie mbele huko
😀😀😀 ni kweli Taifa Stars imekipiga sana. Sijui mechi iliyopita tulifungwa vipi na Benin hawa. Hata hivyo siyo level ya kulinganisha na EPL.Yaani mimi ndio wa kuona Taifa Stars first half huko Benin inakipiga kuliko chama langu na butua butua zao.
Yaani mimi ni wa kuona Kim Poulsen ni kocha kuliko Ole mmh.
Masaai Out
Over all team yetu huwa haichezi kama team zaidi ya vibes tu za wachezaji.mbona pogba akiwa anacheza timu ya taifa ana perform sana shida nini akiwa man u namba anayocheza au ?
Mkuu huyu lick lambert umemg'ang'ania kinoma
Wakuuuu........Basi kama Lambert hatumtaki tupewe £80m tumnunue Adam Lallana kutoka brighton. Kama hamna hela tumuuze Fernandez newcastle hatuwezi kosa £40m.