ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,144



BREAKING NEWS
Kocha wa Manchester United Ole Sosha AMEFUKUZWA KLABUNI baada ya kulewa sana na kutaka kusababisha vurugu.
![]()





Tutawapa nyongeza ya Fernandez, Maguire na De gea wenyewe wafanye kuhangaikia usafiri tu.Wachezaji wafuatao wanatakiwa kusajiliwa na Newcastle United kipindi cha dirisha dogo
1. J. Lingard
2. E. Bailly
3. A. Martial
4.
Afukuzwe aende wapi?
Salah robbed.....
Player of the month. Who else except CR7.
Kumbe ulikua unaotaGame ya Leicester city nimeota nakuota tumepigwa mbili bila na kwa majeruhi ya beki yetu naona kabisa ndoto inaenda kutimia hii.
Hahahaha
bado mpaka maguire na varane warudi
Ole atazidi kuchanja mbuga tu.Fixture za kibabe ndo zinaanza sasa Jumamosi..
Wale "Ole out" tule mtori nyama zipo chini.
Ole apewe mudaFixture za kibabe ndo zinaanza sasa Jumamosi..
Wale "Ole out" tule mtori nyama zipo chini.