MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,291
- 2,368
Kama sio majeruhi kama watangazaji wanavyojaribu kuhisi,martial hakutakiwa kutoka ili sancho aingie.
Hata Cavan sioni ni kwanini atolewe timum ikiwa kwenye rythm nzuri kama ile.
Anyway,Ole ndie anajua kwanini kafanya alichofanya.
Du ole atakufa ssa beki hata cku moja kutoa clen shit hakunaOLE Sendeka kama kawaida
Hafukuzwi ng'oo tena nawaombea kila la heri mechi ijayo Man Utd ishinde [emoji38]Bado hajafukuzwa tu
[emoji28][emoji28]Greenwood kawaje tena kwani siku hizi.nilizani ndo golden boy wenuOle atoke kabisa.
Unsub Cavani unaaha kabinafsi Greenwood
Double pivot ipi mkuu???? πππππInakuwaje gray anafanya anavyotaka pale katikati ilihali tuna double pivot[emoji848][emoji848][emoji848]