HT United 1-0 Everton.
Mtashinda hii game si kwa sababu mnacheza vizuri, ni kwa kuwa nyie ni Manchester United.
Mpaka sasa WanBisaka ndio kacheza vizuri. Wengine ni kawaida kabisa.
Kumuweka Cavani sehemu ya Ronaldo mimi naona ni kama vile hujabadilisha kitu. Wote wana uwezo mzuri wa kufunga wanapopata nafasi tena kwa umri wao wa sasa hivi Cavani ana-offer vitu vingi kule mbele hasa ile mikimbio yake.
Ole continues to get out of jail because of strikers he has but there is definitely something amiss and it is him as a coach. With a Klopp Guardiola or Conte this team would achieve.
Kama sio majeruhi kama watangazaji wanavyojaribu kuhisi,martial hakutakiwa kutoka ili sancho aingie.
Hata Cavan sioni ni kwanini atolewe timum ikiwa kwenye rythm nzuri kama ile.
Anyway,Ole ndie anajua kwanini kafanya alichofanya.