Ni kweli ila ukiondoa ubovu wa Ole, clean sheets sio big deal sana. Kwa upande wa golikipa ubora wake haupimwi kwa clean sheets pekee bali ni uwezo kuzuia idadi ya mipira inayopigwa langoni kwake. Kuna golikipa anaweza kuwa na clean sheets 20 ktk michezo 38 ila zilipigwa shots on target 20 hizo hizo.Wadau wa Manchester United,hili suala la kukosa clean sheet karibia mechi zote tulizocheza linasababishwa na ubovu wa wachezaji wa United kwenye kuzuia au mfumo ( kocha) kwenye suala husika?
Yaani siku hizi kila mechi unatarajia kufungwa walau goli na ndio imekuwa kama utambulisho wetu halafu tunajisifia kuwa ni kings of comeback!
Kuna wakati huwa namuonea huruma De Gea hadi natamani tuwe tunapata droo za 0-0 kuliko kushinda 3-1.
Tukisema kikosi Bora we mean total performance of whole team ,, hii timu inacheza kiwango Cha chini Sana ,, check villareal ilivyomtoa jasho pepo mwekundu..[emoji23]Dah mkuu hata kama huipend United lkn sio kwa kusema team yote mbovu...ni kwl hawa washenz wanaongea sana lkn wana kikosi kzr msimu huu..sema ndo vile upele umuota asiye na kucha
Martial hakuna mtu mkuuMartial is back..
Asante Ole..
Tusifungwe tu
Kumuweka Cavani sehemu ya Ronaldo mimi naona ni kama vile hujabadilisha kitu. Wote wana uwezo mzuri wa kufunga wanapopata nafasi tena kwa umri wao wa sasa hivi Cavani ana-offer vitu vingi kule mbele hasa ile mikimbio yake.Kwanini asianze alafu tukishapata matokeo ndo atoke? Huoni ni risk sana kumuingiza timu ikishazidiwa anakua under pressure
bado sio kizuri mzee Kwenye kikosi Chao wachache ndo wanawaharibia[emoji23]....hao kina Fred vunjabei mpk kutuliza mpira au kutoa pasi kipengele ....bissaka sio mzuri offensively....wengine incosistence kina pogba[emoji23]Dah mkuu hata kama huipend United lkn sio kwa kusema team yote mbovu...ni kwl hawa washenz wanaongea sana lkn wana kikosi kzr msimu huu..sema ndo vile upele umuota asiye na kucha
Bado yupo.Bado hajafukuzwa tu
Mimi sio kwamba nilitaka aanze ..no,nampongeza tu Ole kwa hilo cha msingi tusipoteze point tatu.Martial hakuna mtu mkuu
Nani haelewi..mimi sijapenda alivyoanza..nampongeza ole kwa kumbebe Martial,nachotaka mimi tusipoteze tu point tatu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angalia mpira wewe,acha kuchat huku