Sikio la kufa.
Pattern which? Pattern who? Pattern where? Pattern hownimeyakumbuka mashairi ya wimbo ule,
wape wape vidonge vyao, wakimeza au wakitema shauri yao.
View attachment 1956219

Bissaka si anared mkuu.My Starting XI vs Villareal Kesho
======
De Gea
AWB Varane Lindelof Dalot
Fred McTominay
Sancho Fernandes Pogba
Ronaldo
=======
Greenwood kwa ule upumbavu wake wa juzi inabidi abaki nyumbani hata benchi simweki.
Si hawataki kumfukuza mpaka atolewe uefa na akose epl so tuvumilie tu ndio England ilivyo, tm nyingi pale ziko hvyo, kuvumilia ujinga.Nasubiri maoni yenu.View attachment 1956289
Nilikuwa nishasahau mkuu.Bissaka si anared mkuu.
bwana ole ukimgusa kidogo anakuletea hadithi za DNA ya manchester united, anachosahau ni kwamba hizo style za kiuchezaji anazozizungumza ni kweli zilifanya kazi miaka ya fergie ila kwa sasa zama zimebadilika.Hiyo the way we broke up against aston villa inamaanisha liwapanga ili kuja kuzuia mashambulizi ya Villa? Jamani villa wale tuliowadominate tukashindwa tengeneza nafasi au Villa ipi?
Na hatuna clean sheet ndo tatizo linaanzia hapo ni tusifungwe au anapunguza idadi ya magoli.Pep aliwatumia Benardo silva na KDB katika role moja ya No 10 na akamchezesha kiungo mkabaji mmoja tu......ila sasa Ole anamchezesha kiungo wetu bora (Pogba) kama winga wa kushoto ili Fred na Mc Tomminay wacheze wote wawili wadefence tusifungwe




ushajiandaa na kelele za Papaa Gx , OllaChuga Oc , Pain killerWakati mwingine mtu unaweza kuingia roho ya kishetani na kuombea ufungwe ili uone atafukuzwa au
GGMU.
Hawanisumbui hawa watu alafu pain killer jana kapigwa katuliaushajiandaa na kelele za Papaa Gx , OllaChuga Oc , Pain killer
kwa sababu hao ndio watani wako wakubwa
hahahahahaa






duh! kweli man city amefungwa, lakini jamaa huwa hasumbuliwi na matokeo ya timu yake.Hawanisumbui hawa watu alafu pain killer jana kapigwa katulia![]()
Bado hujaamka tuHiyo ni moja ya mbinu