timu yetu mbovu mkuu ila sio kiwango cha utopolo tafadhali.Hii timu ni utopolo
Hiyo the way we broke up against aston villa inamaanisha liwapanga ili kuja kuzuia mashambulizi ya Villa? Jamani villa wale tuliowadominate tukashindwa tengeneza nafasi au Villa ipi?
Hiyo the way we broke up against aston villa inamaanisha liwapanga ili kuja kuzuia mashambulizi ya Villa? Jamani villa wale tuliowadominate tukashindwa tengeneza nafasi au Villa ipi?
We will get there? Where anamaanisha tutakuwa tupo nafasi ya kwanza?nimeyakumbuka mashairi ya wimbo ule,
wape wape vidonge vyao, wakimeza au wakitema shauri yao.
View attachment 1956219
thebusbybabe.sbnation.com
bila ya shaka anamaanisha hivyo, atakuja kukumbushwa endapo atashindwa kulifikia lengo hiloWe will get there? Where anamaanisha tutakuwa tupo nafasi ya kwanza?
inaumiza sana, mtu unaona timu inakosa nguvu na ubunifu, kwenye kushambulia ila kocha anaongelea kuhusu kudefence mashambulizi ya timu pinzani na kuonesha anaridhika na mchango wa Mcfred uwanjani licha ya kushindwa kufanya kitu kwenye nusu ya adui.....
Ole akicheza na timu zinazojishika kidogo anarudisha double pivot, jamaa ni muoga sanainaumiza sana, mtu unaona timu inakosa nguvu na ubunifu, kwenye kushambulia ila kocha anaongelea kuhusu kudefence mashambulizi ya timu pinzani na kuonesha anaridhika na mchango wa Mcfred uwanjani licha ya kushindwa kufanya kitu kwenye nusu ya adui.....
basi bhana
Mkuu kwa mwenendo huu mwakani tunaweza cheza Europa......kuna competition sana pale juu bila ufundi wa kocha hatufiki popote maana rotation badae itahitajika na yeye sio mzuri katika hilo.bila ya shaka anamaanisha hivyo, atakuja kukumbushwa endapo atashindwa kulifikia lengo hilo
huyo ronaldo atafunga bila kutengenezewa nafasi za kutosha?
nilifikiri msimu huu tutacompete ila naona nilikoseaOle akicheza na timu zinazojishika kidogo anarudisha double pivot, jamaa ni muoga sana
itategemea zaidi na nguvu ya arsenal pamoja na tottenham hotspurs.Mkuu kwa mwenendo huu mwakani tunaweza cheza Europa
wengi wetu tuliamini hivyo, ila bado ni mapema sana kujiondoa kwenye mbio za mapambano ya kuwania vikombenilifikiri msimu huu tutacompete ila naona nilikosea
Ngoja nibakize akiba ya maneno ila hali haionekani kuwa njemaitategemea zaidi na nguvu ya arsenal pamoja na tottenham hotspurs.
leicester city wanaonekana kutokua seriously na top 4.