Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hama haraka sana kaka, ugali sato wa kubanikwa na mlenda ulivyo mtamu vile unaanzaje kufa kizembe hivyo nakati Mwantesa Utd si kabila
 
Evra ndio legend pekee aliyefungua mdomo juu ya uwezo mdogo wa Ole last season... Nasubiri kina Neville, Kean, na Scholes wataongea nini kuanzia sasa.

Kiufupi, Ole Sabaya uwezo umeishia hapa. Afurushwe kesho asubuhi kabla sijaenda jogging
Hawa wote wapumbavu..watabaki kusema United inabidi imsajili Declan Rice ili imfunge Aston Villa.

United ina kikosi bora kabisa ulaya,kocha anashindwa kufundisha mpira..wachezaji wanajichezea tu.
 
Shaw was poor..bora ametoka

Bissaka+Fred trash as usual.

Maguire...Shamble again..kila mechi lazima atoe blunder..captain gani huyu?

Anyway..we better win the 2nd half.
Weweeee...! Yani umejikalia tu hapo kama kiporo cha ugali unaanza kutukandia beki letu na Kapteni la dunia "Magure" ?
 
Bruno Penandez Goal 98 min it's 1-1 game on hahaha nacheka saaaaana
 
Kumbe ni wapumbavu hao wachezaji wenu
 
Kwahiyo unashauri nani awe mbadala wa Ole?
Kuna haja ya kuniuliza hili swali kweli? Jombaa, kuna makocha kibao mkurugenzi wa ufundi akinyanyua simu yake kesho asubuhi watakuwa wamewasili uwanja wa ndege wa Manchester tayari kwa kuanza kazi.

Hawa ni baadhi yao;
  • Antonio Conte
  • Eric Ten Hag
  • Zinedine Zidane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…