Jamaa anakelele huyo lakini kwa sasa katulia tuliiiNimependa amani na utulivu kutoka kwa mashabiki wakimbizi.
Mmoja sasa hivi yupo bize anabana mbupu huko aliko. OllaChuga Oc
Nishasema toka jana "MTAPOTEA HUMU"
No zako za simu tafadhali Mrembo ili nikunyoshe haswa kimahaba ili usitusahau mabingwa wa Ulaya kuturushia video za magoli kama hizi2nd goal. LingardView attachment 1945056
Injiniyaaaa sooomaaa iyooooo wewe ubao unasemaje ..hapa hakuna degea kila gemu anatobokaaa tuNimependa amani na utulivu kutoka kwa mashabiki wakimbizi.
Mmoja sasa hivi yupo bize anabana mbupu huko aliko. OllaChuga Oc
Nishasema toka jana "MTAPOTEA HUMU"
Amka weweeee acha kulala kizembee weweee ngapi ukoooooOllachuga huko ana hali mbayaa
Mkuu team yenu imekuwa ya moto sana, midfield na backline zenu zimekuwa ni za kibabe sana, mnakaba hadi upepo.Hahahaha hahahaha sisi ndio Chelsea.
Mabingwa wa kila kombe..
CFC
No zako za simu tafadhali Mrembo ili nikunyoshe haswa kimahaba ili usitusahau mabingwa wa Ulaya kuturushia video za magoli kama hizi
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Mimi sitoacha kuwaombea njaa, Pep anafuata safari hii anarudisha heshima. Hiyo game nitaomba droo tu.Injiniyaaaa sooomaaa iyooooo wewe ubao unasemaje ..hapa hakuna degea kila gemu anatobokaaa tu
Mkuu Arsenal ni kocha pia na wachezajiWakuu hawa chelsea tuwaangalie kwa jicho la tatu, wako solid sana eneo la kiungo na beki. Wanakaba na wanapanda balaa.
Man U, tunakosa uwepo wa kocha wa viwango pale nyumbani, wachezaji waziri ila hawana morali kabisa.
Ukiangakia kikosi cha Chelsea wakati wa Lampard na hiki cha TT hakina utofauti ila uchezaji umebadilika, hii inamaanisha kwamba kocha anaplay part kubwa sana kwenye ubora wa team ila Team yangu imekuwa ikichukulia easy sana swala la kocha.
Ukitaka kuamini jiulize inawezekanaje chelsea ileile ya Lampard iwe bora hivi?
Hata Arsenal ipo pale kwasababu ya kocha na sio wachezaji,hii tabia ya kutaka kuchukua malegend wa team wawe makocha inaumiza sana.
Jamii forums bhnSema wanangu tukiendelea hivi ipo siku tutakuja kupigwa na kitu kizitoo
Sema matajiri wa London mzembe kweli weweMimi sitoacha kuwaombea njaa, Pep anafuata safari hii anarudisha heshima. Hiyo game nitaomba droo tu.
Leo tungedroo halafu mkashinda ningeumia sana, katika rivals siwapendi ni Liverpool na nyie takataka za London.
Watandike tu kitanda vizuri maana tutawalala bila huruma.Hv man u siku mnakutana na Chelsea itakuwaje?
Na tutagawa dozi pakaa mchakae hahahahaMkuu team yenu imekuwa ya moto sana, midfield na backline zenu zimekuwa ni za kibabe sana, mnakaba hadi upepo.
Team yangu mimi inafelishwa na huyu underdog OLE.
Baeleze baeleze haooooHv man u siku mnakutana na Chelsea itakuwaje?
Timu ipo slow sn,ibadilike ibadilikeeeSema wanangu tukiendelea hivi ipo siku tutakuja kupigwa na kitu kizitoo