Msimu huu tutakuwa tunashinda ushindi ambao unawaacha na maswali kuwa imekuwaje?
.
Na hata ivyo team ya kuchukua ubingwa inatakiwa kushinda bila kujali inashindaje with reference to 2012's season, mnabaki mnapiga kabobo wakati sie tushachukua point zetu 3.
NB: Tukilishughulikia hili swala la kocha tutafika mbali sana.