Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,394
- 17,769
Ndio kwanza nasikia toka kwako. Offside position maanake nini? Utakuja kuona kama hiyo ikikataliwa., na kuwa goal disallaw. Afu sijui mtasema sheria zimerekebishwa tena. Muda ni hakimu mzuri sana.Sheria zilibadilishwa ndugu, haiwezekani mkono kuzidi ukunyime goli kwani unaocheza ni mkono au mguu.
[emoji23][emoji23] mimi nina wawili humu kwa kikosi chetu ukimuacha nje Ronaldo au greenwood nakua sikuelewi kabisa hapa bado mdogo wangu Greenwood furaha yangu ikamilike.CR7 anaoffer kitu ambacho vijana wengi pale UTD walishindwa,nipo safarini siangalii mpira nachungulia livescore. Nimeangalia nikakuta tumepigwa kimoja baadae nikapata notification kuwa tumesawazisha, wakati naangalia akili tayari ilikuwa inawaza "au ni Ronaldo nini?[emoji2]"
Ile nafungua nakuta ni yeye, nafurahi sana Ronaldo alifunga sijui kwenu nyie. Kwangu mimi Man U kushinda ni habari zisizofanana kabisa na Ronaldo kufunga, namaanisha hata tukifungwa Ronaldo akitupia nafurahi tu[emoji28][emoji28].
Baadae ya era ya kina Messi na Ronaldo soka, sidhani kama kutakuja kuwa na viumbe wengine watakao simbua dunia kwa miaka ya hivi karibuni.
I was thinking the same...Ni muda sasa tuanze kuangalia uwezekano wa partnership ya varane na lindelof.
VAR kwa EPL ni usanii mtupu, Southampton jana walinyimwa penati dhahiri kabisa kule Etihad dhidi ya Man City.VAR decision this tym sio sahihi. Clear kabisa CR7 alizidi mkono. Mdogo mdogo mnaanza kubebwa.
1-1
Ole akae kae kidogo ili sisi wapenzi wa timu zingine tuburuduke kujichotea points za bure.Bado hajafukuzwa tu....
Hii fomesheni aachane nayo au aondoke huyu mbwa.
Live Football TVWakuu ni app gan nzuri ya kuangalia game live online ,,,??? Au mwenye link ya hii game atuwekee