Hahaha ila hii ni strategy inayotumika ili ku-dominate bargaining power ktk transfer market in case kama kuna mtu atamhitaji, kwa kifupi wanajaribu ku-recoup gharama za mshahara wake ili asiondoke bure. Ubaya wa hii mbinu akikudodea ndio utaendelea kubaki nae mpaka mwisho wa mkataba wake.
imetuliaMY STARTING XI vs WESTHAM JUMAPILI
==========
De Gea
Dalot Varane Maguire Shaw
Matic Pogba
Greenwood Fernandes Sancho
Ronaldo
===========
Kocha😛E Teacher a.k.a Ole Gunnar Solskjaer.
Nimemuona Phil Jones ha ha ha nilimmiss sana aiseeWest Ham leo mmechoshwa sisi kazi ni kusaka ushindi J2.
View attachment 1941024View attachment 1941026View attachment 1941027View attachment 1941028View attachment 1941030View attachment 1941031
well said, lakini natofautiana na wewe kidooogo.Sijui watu huwa wanatoaga wapi ujasiri wa kumtetea Ole.
Tuna kikosi kizuri sana kuliko timu yoyote ile pale ulaya ila inaongozwa na bogus.
Tutaishia kusema hivi hivi kila msimu sijui DM alihitajika sijui nani tulimhitaji. Ukweli ni kwamba tunapoteza muda na Ole.
Mapungufu ya Ole ni Game management skills - kama huna hii kitu huwezi kubeba mataji hata siku moja.
Sipendi kujilinganisha na wenzetu ila timu kama Chelsea, Man City na L'pool hawana ubora wa kikosi tulichonacho lakini wana ubora mkubwa sana ktk safu ya ufundi.
Mf. Mtu kama Tuchel sio kocha wa juu sana kama Pep ila ana game management skills ya hali ya juu sana. Jaribu ku-review mchezo wake dhidi ya L'pool (sare) na ule dhidi ya Villareal UEFA super cup.
Wafukuze huyo mtu, aende akalecture saikology huko kwao...Highs and lows of United's form...
"No, it doesn’t surprise me. I've got my job and we do our job, you tend to in the media get judged by behaviours and outcomes rather than intentions. It's black and white. But we go into the game with good intentions, we make changes with good intentions, go into a tackle and make a pass with good intentions. The outcome always decides which headline we’ll see and very very rarely is the game fantastic or really really bad, it just hovers about good or not good enough.
"We know the expectations are high and we expect more of ourselves as well, the performance wasn’t up to our standard."
===============
hata mwizi anapokwenda kuiba huongozwa na good intentions
Matarajio ya wengi ni kumuona Dalot kwenye nafasi uliyompatia Alex,mkuu kuna sababu gani ya kiufundi umetumia kupendekeza hivyo?1) david de gea
2) alex telles (4) varane (5) maguire (3) luke shaw
(6) scott / matic (8) pogba
7) greenwood (10) bruno (11) sancho
(9) ronaldo
Umetumia kigezo gani kumpanga Alex #2? He's left footed.1) david de gea
2) alex telles (4) varane (5) maguire (3) luke shaw
(6) scott / matic (8) pogba
7) greenwood (10) bruno (11) sancho
(9) ronaldo
substitutions
reserves
dean henderson hannibal mejibri cavani donny van de beek jesse lingard lindelof wan bissaka- fred
======================================
- heaton
- dalot
- alvaro fernandez
- bailly
- anthony elanga
- martial
hata kama tutacheza na bayern munich hiyo ndio timu yangu kwenye karatasi, mabadiliko yatategemewa zaidi na performance ya sancho, greenwood, rashford, matic na scott
Mkuu hapo kwenye kikosi kizuri Sana kuliko timu yoyote ulaya embu tuache kwanzaSijui watu huwa wanatoaga wapi ujasiri wa kumtetea Ole.
Tuna kikosi kizuri sana kuliko timu yoyote ile pale ulaya ila inaongozwa na bogus.
Tutaishia kusema hivi hivi kila msimu sijui DM alihitajika sijui nani tulimhitaji. Ukweli ni kwamba tunapoteza muda na Ole.
Mapungufu ya Ole ni Game management skills - kama huna hii kitu huwezi kubeba mataji hata siku moja.
Sipendi kujilinganisha na wenzetu ila timu kama Chelsea, Man City na L'pool hawana ubora wa kikosi tulichonacho lakini wana ubora mkubwa sana ktk safu ya ufundi.
Mf. Mtu kama Tuchel sio kocha wa juu sana kama Pep ila ana game management skills ya hali ya juu sana. Jaribu ku-review mchezo wake dhidi ya L'pool (sare) na ule dhidi ya Villareal UEFA super cup.
Ulitaka Nan akulegezee mtoto wa kiume ,kaza tako weweWestham watatukazia
City ndio timu kumbwa kwenye jiji la Manchester kwa sasa