Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Siungi mkono juhudi za watu kutaka ole aondoke,kiufupi ni wivu tu na fitina .Kila mwanadamu anakosea apewe muda ni world class coach ,sisi washabiki wa team tofauti mapepo mekundu tunamuunga mkono Ole
Anafaa Sana pale unyumbuni kabisa mkuu
 
Sawa.
 
Manchester United wamekuwa na mazungumzo mazuri na kiungo wa kati wa Ureno Bruno Fernandes tangu mwezi Julai. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 anataka kusalia Old Trafford na kandarasi yake inachukuliwa na umuhimu mkubwa pamoja na kiungo wa kati Paul Pogba, 28.
 
United ilitaka kufanya mazungumzo ya makubaliano na Napoli ili kumsajili nahodha wa Senegal Kalidou Koulibaly, 30, msimu ujao lakini hawakuwa tayari kukubali thamani ya mchezaji huyo kama inavyodaiwa na klabu hiyo ya Serie A ya £34m kumnunua beki huyo wa kati.
 
wake up call ? OLE? hahaha okay
 
muambie ole vyote ila sio kubadili formation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…