Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Nimeishia hapo "group jepesi "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahah! Leo umemuita Ole PE teacher, humtetei tena?
Binafsi zile sub mimi naona alijikoroga mwenyewe ila pamoja na threat ya Ronaldo kule mbele bado Young Boys walitupigia mpira safi tu ni kwasababu yetu ya kukaa nyuma. Goli la kwanza ni uzembe wa timu nzima wakiongozwa na kocha wao kucheza kwa kujilinda, tukawapa nafasi ya wao kuvuka mstari bila wasiwasi kwasababu kule mbele alibaki mtu mmoja waliyemdhibiti na wale jamaa angebaki mule wangemuumiza walianza kumchezea hovyo hata akiwa hana mpira.
Ronaldo alitoka uwanjani Young Boys wamesawazisha, kama nilivyosema Ronaldo kubaki peke yake mbele ilikuwa siyo msaada watu walisham-mark. Ole alichofeli ni kucheza kwa kujilinda na kuwatoa wachezaji muhimu kuliwapa nguvu zaidi Young Boys kuzidi ku-press.
Yote kwa yote Young Boys wamempa Ole wake up call, inabidi akaze na awe na plan B za uhakika, Ole ni kama hakujiandaa kucheza na wachezaji pungufu. Sub ya Ronaldo na Bruno pia ilikuwa muhimu kwa mchezo wetu wa weekend, mimi naamini kufuzu ni suala la muda tu ila ligi ni muhimu kwasababu tuna-compete na the best for a long season while UCL at early stages msimu huu tupo group jepesi.
Kenge weweSiungi mkono juhudi za watu kutaka ole aondoke,kiufupi ni wivu tu na fitina .Kila mwanadamu anakosea apewe muda ni world class coach ,sisi washabiki wa team tofauti mapepo mekundu tunamuunga mkono Ole
Unakatwa na ndugaiSiungi mkono juhudi za watu kutaka ole aondoke,kiufupi ni wivu tu na fitina .Kila mwanadamu anakosea apewe muda ni world class coach ,sisi washabiki wa team tofauti mapepo mekundu tunamuunga mkono Ole
Tutajipanga.Atalanta na Villarreal ni group jepesi? Haupo serious mkuu. ..mwanzo lilionekana jepesi lakini saivi mjipange sana.
Timu ilikuwa ina Shaw,Lindelof na Maguire so kocha alikuwa anaweza switch to back 3 kumtoa Sancho ilikuwa sawa I think alipaswa kumuacha VDB kuongeza nguvu midfield sababu tulikuwa na 3 luxury players(CR7,Bruno & Pogba) ambao sio wakabajiNani angecheza fullback ya kulia ?
Mechi ile kifupi Ole aliwathibitishia wakosoaji wake kuwa hawakosei kumuita PE teacher.Hahahahah! Leo umemuita Ole PE teacher, humtetei tena?
Binafsi zile sub mimi naona alijikoroga mwenyewe ila pamoja na threat ya Ronaldo kule mbele bado Young Boys walitupigia mpira safi tu ni kwasababu yetu ya kukaa nyuma. Goli la kwanza ni uzembe wa timu nzima wakiongozwa na kocha wao kucheza kwa kujilinda, tukawapa nafasi ya wao kuvuka mstari bila wasiwasi kwasababu kule mbele alibaki mtu mmoja waliyemdhibiti na wale jamaa angebaki mule wangemuumiza walianza kumchezea hovyo hata akiwa hana mpira.
Ronaldo alitoka uwanjani Young Boys wamesawazisha, kama nilivyosema Ronaldo kubaki peke yake mbele ilikuwa siyo msaada watu walisham-mark. Ole alichofeli ni kucheza kwa kujilinda na kuwatoa wachezaji muhimu kuliwapa nguvu zaidi Young Boys kuzidi ku-press.
Yote kwa yote Young Boys wamempa Ole wake up call, inabidi akaze na awe na plan B za uhakika, Ole ni kama hakujiandaa kucheza na wachezaji pungufu. Sub ya Ronaldo na Bruno pia ilikuwa muhimu kwa mchezo wetu wa weekend, mimi naamini kufuzu ni suala la muda tu ila ligi ni muhimu kwasababu tuna-compete na the best for a long season while UCL at early stages msimu huu tupo group jepesi.
Utaratibu wa pay per view ukoje ili angalau niwe nalipia hizi mechi za UEFA ninazotaka kuangalia.DStv wezi tu mkuu.
In fact, mechi ya mwisho ya Villarreal niliangalia wakicheza na Atletico Madrid. Hao Villarreal unaowasifia ni weak team kutoka nyuma hadi mbele. Kilichowafanya wapate droo game ya Atletico ni makosa ya Atletico yanayojirudia defensively na Atletico kuwa forced kumtoa Suarez kitu kilichopelekea Atletico kuwa weak katika ushambuliaji. Lemar na Carrasco walikosa nafasi nyingi sana. Pamoja na kuongoza 1 - 2 Atletico wali-press jamaa wakajifunga dk ya 90.Nimeishia hapo "group jepesi "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
inaonekana huwa unaangakia mpira LiveScore ...
Pole sana
Mkuu unavoongea ni Kama vile unacheza PS ,football sio nyepesi kiasi hicho ,ni wanaume 11 vs wanaume 11 uwanjan .......In fact, mechi ya mwisho ya Villarreal niliangalia wakicheza na Atletico Madrid. Hao Villarreal unaowasifia ni weak team kutoka nyuma hadi mbele. Kilichowafanya wapate droo game ya Atletico ni makosa ya Atletico yanayojirudia defensively na Atletico kuwa forced kumtoa Suarez kitu kilichopelekea Atletico kuwa weak katika ushambuliaji. Lemar na Carrasco walikosa nafasi nyingi sana. Pamoja na kuongoza 1 - 2 Atletico wali-press jamaa wakajifunga dk ya 90.
Kuwafunga Villarreal ni ku-press tu dk 90. Tutahitaji kiungo mmoja arudi chini kucheza kama RCB ili kuwaruhusu Dalot na Shaw kupanda. Ronaldo akisimama juu, Sancho na Greenwood (akianza) wanaingia ndani zaidi huku Bruno akijiunga na safu ya ushambuliaji juu zaidi itawafanya Villarreal kurudi nyuma ku-cover space (hapa ndiyo mechi inapokuwa ngumu na rahisi kwa United) Pogba atapata nafasi kubwa zaidi kucheza, lakini Bruno atakabwa zaidi na viungo watakaolazimishwa kucheza deep, last time Rashford alikuwa hatembei sana, upande wake tulikosa mtu creative. Sancho ataongeza kitu endapo atakula mbavu ya kushoto, game ya Newcastle alicheza vizuri sana.
Champions League VARANE akibaki nyuma na Maguire huku kiungo mmoja akicheza RCB, forward wa Villarreal watakuwa hawana threat zaidi.
Villarreal beki zao za katikati zipo vizuri ila kwa pressing ya Ronaldo joined with Sancho na Greenwood itakuwa ni suala la muda tu.
Mkuu unavoongea ni Kama vile unacheza PS ,football sio nyepesi kiasi hicho ,ni wanaume 11 vs wanaume 11 uwanjan .......
Umeangalia game ya psg vs club brugge ,mess ,Neymar ,mbappe wote ndani ,unajua nini kilitokea ..,.
Kuna watu waliopiga hesabu za kwenye karatasi Kama wewe hapo lakin unajua nini kilitokea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nakwambia hivi ,kwa mtu anayeangalia mpira hawezi ongea hivo ,CL no weak team ,hakuna mnyonge you have to respect the opponent ,villareal wkija vizur na mbinu wanampiga man utd hapo hapo OT no matter what ronaldo ,Sancho ,cavan ,Bruno hata Kama wapoo ...vile vile man utd akiwa na mbinu nzur atamfunga villareal ,the issue is "tactics "
Kumbe mara ya mwisho umeangalia mpria atm vs villareal,?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endeleaa kuangalia mpira LiveScore tuu
Mpira kwa kila timu unaanzia kwenye makaratasi, Unai ni bingwa wa kupaki basi. Mara ya mwisho alipaki basi na ndiyo mbinu zake, ndiyo maana nikasema United wakicheza hivi mechi itakuwa rahisi pia ngumu.Mkuu unavoongea ni Kama vile unacheza PS ,football sio nyepesi kiasi hicho ,ni wanaume 11 vs wanaume 11 uwanjan .......
Umeangalia game ya psg vs club brugge ,mess ,Neymar ,mbappe wote ndani ,unajua nini kilitokea ..,.
Kuna watu waliopiga hesabu za kwenye karatasi Kama wewe hapo lakin unajua nini kilitokea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nakwambia hivi ,kwa mtu anayeangalia mpira hawezi ongea hivo ,CL no weak team ,hakuna mnyonge you have to respect the opponent ,villareal wkija vizur na mbinu wanampiga man utd hapo hapo OT no matter what ronaldo ,Sancho ,cavan ,Bruno hata Kama wapoo ...vile vile man utd akiwa na mbinu nzur atamfunga villareal ,the issue is "tactics "
Kumbe mara ya mwisho umeangalia mpria atm vs villareal,?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endeleaa kuangalia mpira LiveScore tuu
"Mechi ya mwisho ya Villarreal" siyo mechi ya mwisho kuangalia. Yani unataka nikae chini week in week out nawaangalia Villarreal? Hiyo kazi ni ya Ole na opponents wake.Mkuu unavoongea ni Kama vile unacheza PS ,football sio nyepesi kiasi hicho ,ni wanaume 11 vs wanaume 11 uwanjan .......
Umeangalia game ya psg vs club brugge ,mess ,Neymar ,mbappe wote ndani ,unajua nini kilitokea ..,.
Kuna watu waliopiga hesabu za kwenye karatasi Kama wewe hapo lakin unajua nini kilitokea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nakwambia hivi ,kwa mtu anayeangalia mpira hawezi ongea hivo ,CL no weak team ,hakuna mnyonge you have to respect the opponent ,villareal wkija vizur na mbinu wanampiga man utd hapo hapo OT no matter what ronaldo ,Sancho ,cavan ,Bruno hata Kama wapoo ...vile vile man utd akiwa na mbinu nzur atamfunga villareal ,the issue is "tactics "
Kumbe mara ya mwisho umeangalia mpria atm vs villareal,?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endeleaa kuangalia mpira LiveScore tuu
Sikia nikwambie kitu , football sio majina tu and tactics tu ,....!Mpira kwa kila timu unaanzia kwenye makaratasi, Unai ni bingwa wa kupaki basi. Mara ya mwisho alipaki basi na ndiyo mbinu zake, ndiyo maana nikasema United wakicheza hivi mechi itakuwa rahisi pia ngumu.
Unai hataingia na mbinu zaidi ya kujilinda na hakuna njia United watashinda kirahisi bila kucheza na full backs. Kama Unai ataingia kama mwanaume (kama Pep anavyoingiaga against United) ulimwengu utashuhudia nini kitatokea.View attachment 1940054
Chelsea huwa anatufunga kwa kubahatisha ,akikutana na city huwa anapumulia mipira ....Kama vile Chelsea alivyo kumanga
Ivi ni yule wa Borushia Dortmund ama Huyu ni mwingine?SANCHOKA bonge la mchezaji
Group jepesi eh?Hahahahah! Leo umemuita Ole PE teacher, humtetei tena?
Binafsi zile sub mimi naona alijikoroga mwenyewe ila pamoja na threat ya Ronaldo kule mbele bado Young Boys walitupigia mpira safi tu ni kwasababu yetu ya kukaa nyuma. Goli la kwanza ni uzembe wa timu nzima wakiongozwa na kocha wao kucheza kwa kujilinda, tukawapa nafasi ya wao kuvuka mstari bila wasiwasi kwasababu kule mbele alibaki mtu mmoja waliyemdhibiti na wale jamaa angebaki mule wangemuumiza walianza kumchezea hovyo hata akiwa hana mpira.
Ronaldo alitoka uwanjani Young Boys wamesawazisha, kama nilivyosema Ronaldo kubaki peke yake mbele ilikuwa siyo msaada watu walisham-mark. Ole alichofeli ni kucheza kwa kujilinda na kuwatoa wachezaji muhimu kuliwapa nguvu zaidi Young Boys kuzidi ku-press.
Yote kwa yote Young Boys wamempa Ole wake up call, inabidi akaze na awe na plan B za uhakika, Ole ni kama hakujiandaa kucheza na wachezaji pungufu. Sub ya Ronaldo na Bruno pia ilikuwa muhimu kwa mchezo wetu wa weekend, mimi naamini kufuzu ni suala la muda tu ila ligi ni muhimu kwasababu tuna-compete na the best for a long season while UCL at early stages msimu huu tupo group jepesi.
Sema unawaonea wivu tu. [emoji23][emoji23]Chelsea maamuzi ya mtu mmoja inategemea kaamkaje cz Chelshit ni kikosi cha wabwia ugolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataja tu majina. Ndugu zako PSG jana meweka full mziki ila Wameishia kutoa sare na club brugge.In fact, mechi ya mwisho ya Villarreal niliangalia wakicheza na Atletico Madrid. Hao Villarreal unaowasifia ni weak team kutoka nyuma hadi mbele. Kilichowafanya wapate droo game ya Atletico ni makosa ya Atletico yanayojirudia defensively na Atletico kuwa forced kumtoa Suarez kitu kilichopelekea Atletico kuwa weak katika ushambuliaji. Lemar na Carrasco walikosa nafasi nyingi sana. Pamoja na kuongoza 1 - 2 Atletico wali-press jamaa wakajifunga dk ya 90.