The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kweli Ze dudu atakuwa hashangilii sana akicheka kinafki hivi kama Manara siku ile wananchi walivyotandikwa siku yao ya kuzaliwa[emoji848]Ole hamna kocha pale, ukiona tumeshinda basi jua wachezaji wamejituma kivyaao tu na siyo uwezo wa ole. Ila chakushangaza uongozi wamempa mkataba mpya wa miaka 3 zaidi kuonyesha kwamba wanaimani naye sana.
It's a shame kuiona man UTD inawekeza kwa kocha kama ole ambaye Hana any trophy, hajui kufundisha timu anachojua yeye ni kupanga Koni wakati wa mazoezi tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijawahi kuona kocha muoga kama sosha, una kikosi kipana, mechi ya watoto kama hii anapotoka mchezaji kwa kadi nyekundu wewe tia kuni, nilitegemea angemtoa vdb aingie Greenwood lkn yeye akatoa kiungo ameweka beki mana ake anawaogopa hawa watoto wadogo licha ya kuwa na kikosi kipana, sio kocha c lolote mbwa huyu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Huyo mzee yupo ot kula mafao
Hahaaa, eti kupanga koni!Ole hamna kocha pale, ukiona tumeshinda basi jua wachezaji wamejituma kivyaao tu na siyo uwezo wa ole. Ila chakushangaza uongozi wamempa mkataba mpya wa miaka 3 zaidi kuonyesha kwamba wanaimani naye sana.
It's a shame kuiona man UTD inawekeza kwa kocha kama ole ambaye Hana any trophy, hajui kufundisha timu anachojua yeye ni kupanga Koni wakati wa mazoezi tu.
Pk sio!?Kuna mshkaji hua anazungusha kiuno nyuzi za watu
[emoji23][emoji23] utakua mchawi ndezi wewePiga shetani mpaka abwekeeee...
Bweeeeeeee3eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mtaunga mkono juhudi wenyewe mamaeeeKweli Ze dudu atakuwa hashangilii sana akicheka kinafki hivi kama Manara siku ile wananchi walivyotandikwa siku yao ya kuzaliwa[emoji848]
Nawaza tu kwa jicho la 3 [emoji87]
Kabla mechi haijaanza nishakunywa tatuZe-dudu kunywa safari lager kubwa huko na pesa ulipe mwenyewe..
Ili akakabe si unajua jamaa anatisha hata kama hana mpiraUnamwingiza Lingard wakati Greenwood yuko benchi Ole hamna kitu.