John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,040
Kwa kweli hata Sisi tunaona[emoji23]VARANE anaingia hakuna wasiwasi.
Sijawahi kuona kocha muoga kama sosha, una kikosi kipana, mechi ya watoto kama hii anapotoka mchezaji kwa kadi nyekundu wewe tia kuni, nilitegemea angemtoa vdb aingie Greenwood lkn yeye akatoa kiungo ameweka beki mana ake anawaogopa hawa watoto wadogo licha ya kuwa na kikosi kipana, sio kocha c lolote mbwa huyu.Hii sub gani sasa dah
Sosha anaomba urafiki [emoji3][emoji3][emoji3]
Unamtoa ronaldo halafu unaanza kujieleza kwake ili iweje [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dah! Hamna mwalimu hapa jaman
Huyu mbwa afukuzwe kesho asubuhi, kwnn hawataki kutuelewa mashabiki.Bado hajafukuzwa tu
Ameifanya game kuwa ngumu, Young Boys washajiamini sasaSijawahi kuona kocha muoga kama sosha, una kikosi kipana, mechi ya watoto kama hii anapotoka mchezaji kwa kadi nyekundu wewe tia kuni, nilitegemea angemtoa vdb aingie Greenwood lkn yeye akatoa kiungo ameweka beki mana ake anawaogopa hawa watoto wadogo licha ya kuwa na kikosi kipana, sio kocha c lolote mbwa huyu.
Eti kawafundisha wachezaji wapoteze muda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ameifanya game kuwa ngumu, Young Boys washajiamini sasa
Kweli kabisa mkuu.Ronaldo atamfukuzisha kazi sosha
Young boys:Hold my beerKosi la dunia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1937606
1st goal. CR7View attachment 1937804