Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi habari ya kwamba DvB yuko kwenye plan za Ole msimu huu itakuwa kwa namna alivyomtumia jana au mie ndio sijamuelewa vizuri?
 
Kama ilivyo kwa wadau wengi humu jukwaani ze-dudu Volatility na wengine ambao hawajaweka misimamo yao wazi sana kuhusu uwezo wa Ole pale United,ningependa nione Cavan na CR7 wakicheza pamoja bila kuathiri uwiano wa timu katika kushambulia na kuzuia ili nimpe jamaa HEKO walau ya kinafiki tu.

Binafsi bado naamini uwezo binafsi wa wachezaji ndio unatuweka juu na sio ubora wa mbinu za mwalimu tuliye naye.
 
Mnafunga wachovu alafu mnajitapa subiri mkutane na Chelsea ndio mnatimu au la!
 
Ndio maana mimi nalia na OLE. Hii collection ni next to PSG. Kwa hiyo hatutakiwi kupoteza everything uingereza to start with. Tena PSG yenyewe ni front line yao pekee ndio threatening sisi ni kila eneo, ila wanbissaka nae ananipa wasiwasi.
🤣🤣🤣🤣 Mnajichekesha aisee mnajitapa kufunga wachovu subiri mkutane na wanaume Chelsea ndio muipime team yenu msije baadae mkaanza na kauli za Ole out
 
Ukiweza kuzuia hisia zako za kishabiki, au ukiwa mtu usiyependa vya bwarere, ni rahisi sana kuona mapungufu halisi ya timu yetu. OLE is unfit for that position.
 
🤣🤣🤣🤣 Mnajichekesha aisee mnajitapa kufunga wachovu subiri mkutane na wanaume Chelsea ndio muipime team yenu msije baadae mkaanza na kauli za Ole out
Aisee. unajua kilichomuondoa kocha wenu PSG?
 
Kama Mzee wa Kiminyio
 
Katika timu ambayo hainipi wasiwasi ni hawa nyumbu .,..

Title contenders ni
Man City
Chelsea
Liverpool ....


Man utd ni wasindikizaji ,subili January mtaona haya nayoyasema ...!!!
 
Mkuu Arsenal ana mashabiki wengi sema kwa sasa hawako active utawaona timu yao ikianza kufanya vizuri.
Chelsea wao wanafanya vizuri ndio hao wote unawaona sasa hawawezi kujitokeza wengine
Wewe unamzungumzia bongo ila duniani Chelsea ina mashabiki wengi kuliko Arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…