Hata kama mngeamua kupiga kelele baada ya kuwafunga hao fox isingewezekana kuwa kama kelele za Man U, unajua ni kwanini?Yaan mnaifunga Newcastle mnakuja kuvimba ,kenge nyie ...
We fuvked fox and we're quit ,ila sasa daaa ,kweli nyumbu ni nyumbu tuuu......
Wewe hujielewi ,...Sioni namna yoyote ile ya kujitetea msimu huu, yani tuna:-
De dea,
Luke Shaw
Maguire
Varane
Baily
Bissaka
Lindeloff
Pogba
Bruno
McTomnay
Matic(ingawa umri umeenda)
Sancho
Rashford
Martial
Cavan
Ronaldo
Msimu huu hatuwezi kusingizia kikosi kabisa, kwanza inatakiwa tusipoteze game yoyote ile tukiwa OT alafu mengine ndo yafate.
Hivi chelsea na Arsenal nani ana mashabiki wengi?Hata kama mngeamua kupiga kelele baada ya kuwafunga hao fox isingewezekana kuwa kama kelele za Man U, unajua ni kwanini?
Team yako haina mashabiki, ni sawa na Azam fc hapa bongo.Najua unatamani kungelikuwa na vibe kwenye jukwaa lenu ila ndo hivyo, wengi ni plastic fans na kwasasa wamerudi kwenye team zako maana zipo hot.
Hata kama mngeamua kupiga kelele baada ya kuwafunga hao fox isingewezekana kuwa kama kelele za Man U, unajua ni kwanini?
Team yako haina mashabiki, ni sawa na Azam fc hapa bongo.Najua unatamani kungelikuwa na vibe kwenye jukwaa lenu ila ndo hivyo, wengi ni plastic fans na kwasasa wamerudi kwenye team zako maana zipo hot.
Hili jukwaa unalipenda sana kijanaWewe hujielewi ,...
"Tusipoteze mechi yeyote OT "
Kwa ule uchezaji wa Jana ,ni vile tu Newcastle ni kibonde ila nilikuwa mnakula goli za kutosha ....
Yani hata Arsenal bado itaendelea kuwa team kubwa mbele yenu mkuu, pamoja na kwamba ina miaka mingi bila kombe seuze Man U?okay , msimu wa nne huu bila kikombe sio mchezo
Ha ha ha ha! Mi mwenyewe nimeshangaa, waswahili tuna nongwa sana! Yaani muhusika anaongea ukweli wake watu Wa pembeni wanamwambia wewe muongo!nilisikia kuna mtangazaji anasema eti lukaku naye ujio wake chelsea ni kama Ronaldo Man u. Nikabaki najiuliza zile habari za lukaku kuwazuia watu kumcopare na ronaldo ni kweli au uzushi? kama ni kweli kwa nini hawataki kuheshimu msimamo wake?
Huyu Ole Sendeka angetambua jinsi gani anachukiwa na wewe kiumbe angejiuzulu mapema sanaBado hajafukuzwa tu
Aisee uko sahihi kwa 100% na nusu. Hapo Mi namuongeza na DVDBWhile I agree with you, lakini ifikie hatua ole aambiwe, Rashford na Martial hawauzwi kama atashindwa kutumia potentials zao ataondolewa, na wakiendelea na characters zao aondolewe.
Umeandika kwa hasira sana kwa nini? Tena jamaa kasema OT Mimi nasema tunapaswa kuchukua ubingwa tukiwa unbeaten!Wewe hujielewi ,...
"Tusipoteze mechi yeyote OT "
Kwa ule uchezaji wa Jana ,ni vile tu Newcastle ni kibonde ila nilikuwa mnakula goli za kutosha ....
Haijulikani, na ni kazi sana kupata takwimu sahihi mana zote ni timu ndogo!Hivi chelsea na Arsenal nani ana mashabiki wengi?
Sioni namna yoyote ile ya kujitetea msimu huu, yani tuna:-
De dea,
Luke Shaw
Maguire
Varane
Baily
Bissaka
Lindeloff
Pogba
Bruno
McTomnay
Matic(ingawa umri umeenda)
Sancho
Rashford
Martial
Cavan
Ronaldo
Msimu huu hatuwezi kusingizia kikosi kabisa, kwanza inatakiwa tusipoteze game yoyote ile tukiwa OT alafu mengine ndo yafate.
Kocha wetu bado ni mzigo.. He has many resources but he doesnt
Kajamaa kila siku kanashinda na kulala kwenye huu uzi mkuu.Sio kwamba mko kimya ni vile timu yenu ni ndogo sana kwa manchester united so hamuwezi ongelewa nyie tukaachwa sisi.
Na ndo sababu upo hapa na sio kwenye jukwaa lako. Btw Karibu sana OT.
Mkuu Arsenal ana mashabiki wengi sema kwa sasa hawako active utawaona timu yao ikianza kufanya vizuri.Hivi chelsea na Arsenal nani ana mashabiki wengi?
Nazungumzia hapa bongo mkuu.Unaongelea mashabiki wapi wa jamii forum au duniani?
Kwa duniani the BLUES ina mashabiki wengi kuliko arse8.
Aisee, kuna haja ya kuwapatia Arsenal baadhi ya wachezaji sasa.Mkuu Arsenal ana mashabiki wengi sema kwa sasa hawako active utawaona timu yao ikianza kufanya vizuri.
Chelsea wao wanafanya vizuri ndio hao wote unawaona sasa hawawezi kujitokeza wengine
Umefanya mabadiriko mengi sana aisee.MY STARTING XI vs YOUNG BOYS JUMANNE..
========
De Gea
AWB Varane Lindelof Telles
Fred van de BEEK
Sancho Fernandes Lingard
Ronaldo
=======
Young boys ni wakata majani tu,sioni ni kwanini tusishinde kwao kwa kutumia hicho kikosi..Tuna tough game na Westham,tuwe tunafanya rotation zenye akili ili kila mechi tuwe na uwezo wa kuchagua kikosi kinachoweza kutupa matokeo.