Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,531
Mimi sio kwamba napinga uwezo wa ronaldo, na question credibity & capacity ya bench letu la ufundi. I adore & hail Ronaldo na ninaamini maamuzi ya kumchukua ni makubwa kuliko maamuzi yote aliyofanya ole toka awe cocha wa man utd.Sasa mkuu hata kama tusingemsajili Ronaldo unadhani Ole alikuwa anafanya sajili nyingine?..jibu ni hapana.
Na Ronaldo akiwa hayupo kwa majeraha au uchovu tutatumia tuliokuwa tumepanga kuwatumia msimu huu bila yeye.
Tuache kuwa negative..kuna wachezaji wakusajiliwa hata kama ni kwa kukurupuka..Messi na Ronaldo ni mfano..PSG na sisi tulisajili wao watu respectively coz fursa ilitokea na kulikuwa hamna jinsi ya kujiuliza mara mbili.
Huyu Ronaldo anaenda kuwa Top scorer wa msimu huu..Mark my words.
msikaliliMukikutana na Chelsea ndo mutajua muna timu mbovu kiasi gani.
Jana tumecheza mpira wa hovyo sana na tukamla mtu traaa kwa nunge ..
CFC
Mmeshinda, lakini mlipaswa kufungwa na wale watoto. waliwazidi.Ulikuwa unastream text nini?
Nimecheka sana mkuu eti traaaMukikutana na Chelsea ndo mutajua muna timu mbovu kiasi gani.
Jana tumecheza mpira wa hovyo sana na tukamla mtu traaa kwa nunge ..
CFC
Masihara hayo! Hii ni dalili ya hofu kubwa ilotanda kwa wenzetu!Cavan atafute sehemu ya kwenda ,hawezi pata namba tena United ....
Mara nyingi wachezaji wa Chelsea wanapotoka international wanakuwaga hovyo sana ..ila kwa jana mpira ilikuwa m'bovu kweli lakini tukashinda traaa eee ni traaa sasa haya madubwana ya OT tutayalamba lamba hadi kukuche.Nimecheka sana mkuu eti traaa
Anatakiwa aweke Akili kwenye mpira wake na timu aache ule upumbavu wake Wa siku zilizopita Wa kudengua dengua. Jamaa ana kipajinkikubwa sanaaa ila childish mentality huwa tatizo kwake!Paul Pogba,mechi tatu assist saba
msikalili ndo nini umeandika wewe kinabo? Hujui kuandika? Halafu utakuta eti na wewe unategemewa hahahahamsikalili
Jana mmecheza kama man u na mkashinda, sasa mje mkutane nayo mcheze hivyo hivyo ndio mtajua kama maji ni maji au ni mma.Mara nyingi wachezaji wa Chelsea wanapotoka international wanakuwaga hovyo sana ..ila kwa jana mpira ilikuwa m'bovu kweli lakini tukashinda traaa eee ni traaa sasa haya madubwana ya OT tutayalamba lamba hadi kukuche.
Hehehehe CFC
kinabo mama ako.msikalili ndo nini umeandika wewe kinabo? Hujui kuandika? Halafu utakuta eti na wewe unategemewa hahahaha
Hama huku unyumbuni uje Stamford Bridge tukufundishe kuandika wewe..
CFC
Sasa wewe takataka unafananisha mpira wa Chelsea na Nyumbu fc??? Nyie mnacheza na trend tu ..mkikutana na vijana wenye roho mbaya kama wa Chelsea basi mutajua hamjui..Jana mmecheza kama man u na mkashinda, sasa mje mkutane nayo mcheze hivyo hivyo ndio mtajua kama maji ni maji au ni mma.
Hahahaha hahahaha.....kinabo mama ako.
hey hey, sikiliza, tuko hapa kujadili mpira, wachezaji, makocha, na stakeholders wengine au all other systems na processes related to football. hatuko hapa kushambuliana, kutukatanana kutokana na tofauti ya mitazamo yetu, mapenzi yetu, ujuaji au ujinga wetu.Sasa wewe takataka unafananisha mpira wa Chelsea na Nyumbu fc??? Nyie mnacheza na trend tu ..mkikutana na vijana wenye roho mbaya kama wa Chelsea basi mutajua hamjui..
Ninachoamini Mimi kwa hawa wachezaji tulio nao angekuwa kocha mzuri tungetisha sanaaaaa! Ole hana mbimu madhubuti. Wachezaji watupambanie tu tuchukue vikombe!Mimi sio kwamba napinga uwezo wa ronaldo, na question credibity & capacity ya bench letu la ufundi. I adore & hail Ronaldo na ninaamini maamuzi ya kumchukua ni makubwa kuliko maamuzi yote aliyofanya ole toka awe cocha wa man utd.
ugomvi wangu na ole ni huu. kwa nini hakumpursue? au basi kwa nini hajapursue mchezaji mwenye caliber yake? kwa nini every time ole anasign mchezaji ambaye ni target ya ufungaji inakuwa kama kukurupuka ?
Kumbuka ole alipofika alimuondoa lukaku kwa madai kwamba hataendana na uchezaji anaotaka kuuformulate, kwamba hatuitaji lone number 9. immedietely baada ya apo akamsajiri kwa mkopo ighalo for the same purpose, then akamsajiri cavan for the same purpose, na sasa amemsajiri Ronaldo for the same purpose.
na hawa wote anawasajiri on a temporary basis? this ole is overly conflicting himself na cocha wa namna hiyo hafai ndio maana timu yetu haina consistency katika uchezaji.
Jana Ronaldo ndio kaprove kwamba Ole ni Tatizo, baada ya jamaa kusawazisha benchi lote la ufundi liliparanganyika, wali scrumble pale benchi kwa namna inayoonyesha hamna mtu anayeamiwa kutoa maelekezo ya kiungozi in time of trouble, then ronaldo akascore pakatulia.
Unazibaje shimo la panya kwa kipande cha mkate wewe!?Lukaku kajua kuzima kelele za Ronaldo leo tusingelala leo vizuri