Wolves wanacheza jinsi tulivyopaswa kucheza sisi. Wolves hawakabi kwa macho, kitu wanakosa ni umakini kule mbele tu. Pia sisi defensively leo tumeonyesha kiwango kizuri. Varane mzee wa kazi ndiyo kitu tulihitaji.
Fred hakuna kitu anafanya, hafanyi kazi yake ipasavyo dimba la kati.
James ni yuleyule, atapata chance nzuri mara ghafla anakuwa kama hana macho.
Kwa ukosefu wa Scott ni heri Ole angeanza na VDB badala ya Pogba, Sancho kulia na Martial kushoto.
Kwasasa Cavani aingie, James atoke.