Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,225
Hapana sisi tunalipa mishahara midogo sana, even Hao kina Rashford na Martial watu wanaolalamika wanapata 200k hizo ni inclusive na Image rights. Mtu anapata hela Kubwa sasa hivi ni DE Gea Peke yake.Mishahara mikubwa kwa wasiostahili.
Sijui atafanyakituuuuNaona mmemrudisha babu unyumbuni 😂😂😂😂
Sometimes kama timu yako inaweza kucreate chances nyingi na kufunga zote DM siyo tatizo sana... Tatizo kama huna wamaliziaji DM atakusaidia kubalance timuIna maana suala la DM ndio limeishia hapa kwa ronaldo kuwa bonus signing?
Bado mkuu hii ya ronaldo imetokea tuIna maana suala la DM ndio limeishia hapa kwa ronaldo kuwa bonus signing?
Siku wanamtambulisha atavunja rekod ya madridndani ya robo saa likes za instagram kwenye page ya Man united inayocomfirm ronaldo karudi ina mil 2,129,555
Hivi shule ulienda kusomea ujinga? Milioni 2,129,555 unaijua wewe? kwa taarifa yako umemaanisha 1,000,000 x 2,129,555ndani ya robo saa likes za instagram kwenye page ya Man united inayocomfirm ronaldo karudi ina mil 2,129,555
Sio mbaya ikiish miaka miwili anapewa under 18 acheze nao yule ni nembo ya club kama manchester united wasingemrudisha ningeshangaa sana mbele kuna vijana wengi sana wanahitaj kujifunza na kuona toka kwa cr7Naona mmemrudisha babu unyumbuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmeanza matambo sasa. 😂😂😂 Ila kusema ukweli usajili huu una tija ndani na nje ya uwanja (business wise).Mabek wa timu pinzani hawatapanda kizembe
Sancho
Cavan
Rashford
Pogba
Bruno
Ronaldo
Unajitaka kweli???
£200K unasema ndogo chief?Hapana sisi tunalipa mishahara midogo sana, even Hao kina Rashford na Martial watu wanaolalamika wanapata 200k hizo ni inclusive na Image rights. Mtu anapata hela Kubwa sasa hivi ni DE Gea Peke yake.
Sure thing man, mufc share prices on the rise alreadyMmeanza matambo sasa. [emoji23][emoji23][emoji23] Ila kusema ukweli usajilu huu una tija ndani na nje ya uwanja (business wise).
Hongera zenu.