Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Rolnado kwa £20milion anakuja city...Sisi ni mambumbumbu na matakataka haswa watendaji wakubwa pale Man utd, ukianza na wamiliki hadi kwa wakurugenzi na watendaji haswa wanaohusika na usajili..tunashindwa kusajili hata cristiano ronaldo??
Ole sendeka ana mahaba ya dhati kwa mpemba na antoni marialle tu, amelogwa? Nasema mara elfu moja bora ronaldo kulikoni marealle au mpemba,
Ona sasa rivals wanamchukua kiulaini kabisa
utaambia nn watu😂😂Rolnado kwa £20milion anakuja city...
Pesa ya kunywea Chai kabisa ,lakin ole anakalia kutoa macho kama amepachikwa ukuni nyuma ...
Ole hana uwezo wowote ,hawezi shinda EPL ,kocha amedembeda vile ,hata akitimuliwa united hawezi pata timu yeyote ya kufundisha EPL ...
Ronaldo anakuja city sasa ,tuanze kuwapelekea moto mpaka EPL itue etihad ...
Cityzen chairman
Wanaweza kuja wote, pengine tukauza Mchezaji, Nina wasiwasi Martial anaweza kwenda Serie A.Usajili wa Ronaldo na DM kipi muhimu wakuu
namuona trippier akija klabuni endapo dortmund watakapokubali kulipa euro millioni 5 ya mkopo kwa diogo dalotWanaweza kuja wote, pengine tukauza Mchezaji, Nina wasiwasi Martial anaweza kwenda Serie A.
[emoji23][emoji23]
Japo si mshabiki wa United ila ningeshangaa sana kama jamaa angejiunga na Man city badala ya timu yake ya awali.