Huyu mshambuliaji labda Mimi namuona vibaya ila huwa Naamini si mzuri kivilee! Siyo top clinical finisher! Ana uzito Fulani hivi na control yake bado ni shida, so namuona kama ni mshambuliaji ambae hajakamilika na hawezi kubadilika!
Inasikitisha sana kutoka kuwafunga 9 mpaka droo. Okay watu wanasema ndo kwanza mechi ya pili ni sawa tukija kustuka tumepitwa point 10 tunarudi kukimbizana na top 4.
Ole mjinga sana,namuunga mkono Nzi jamaa aondolewe tu.
Wakati mwingine tunamlaumu Pogba na Lindelof ila Ole anaweza kuwa ndiye tatizo namba moja la timu kutofanya vizuri.
Inasikitisha sana kutoka kuwafunga 9 mpaka droo. Okay watu wanasema ndo kwanza mechi ya pili ni sawa tukija kustuka tumepitwa point 10 tunarudi kukimbizana na top 4.
Average player, hamna kitu ni mchezaji wa timu ndogo, lkn bora huyu kuliko vikina Martial, Trashford, Lingard, James, hivi ndiyo vitatuharibia msimu mana vinapata nafasi ya kucheza hivi vitaka taka.