Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,894
Mimi naona aanze kumuamin na dialo ettunaomwita katuni huyu swala tuna ujumbe wetu huku, nimeamua kuwaletea kwa lugha ya malikia.
kesho pia ataanza yeye
============
View attachment 1901037
- Ole Gunnar Solskjær likes Daniel James for his attitude and application to the tactics - he is not available for a transfer.
- Daniel James had considered the possibility of moving to gain regular minutes - but it was a fortnight ago that Solskjær told him that he would not be leaving #mufc, and that he was fully in his plans for the season
- Daniel James has been on Marcelo Bielsa's transfer list and has also been monitored by Brighton and Hove Albion. Leicester City made a tentative enquiry for him - but #mufc made their intentions to keep him clear.
solution kuu ni kutolewa kwa mkopo ili apate muda wa kutosha wa kucheza, hata huko atalanta hakuwa na nafasi ya uhakika.Mimi naona aanze kumuamin na dialo et
Amewajaza haraf kuwatumia hajui rashford anarejea kuna lingard dialo james bado martial wote mawinga hao ngoja tumuone kocha wetusolution kuu ni kutolewa kwa mkopo ili apate muda wa kutosha wa kucheza, hata huko atalanta hakuwa na nafasi ya uhakika.
mechi zipo nyingi kupitia michuano tofauti hivyo ni bora kuwa na kundi kubwa la wachezaji kwenye position husika kwa dhumuni la kuwapunguzia game time wachezaji muhimu.Amewajaza haraf kuwatumia hajui rashford anarejea kuna lingard dialo james bado martial wote mawinga hao ngoja tumuone kocha wetu
Fa na carabao cup?mechi zipo nyingi kupitia michuano tofauti hivyo ni bora kuwa na kundi kubwa la wachezaji kwenye position husika kwa dhumuni la kuwapunguzia game time wachezaji muhimu.
jadon sancho akishakuwa na match fitness hutomuona tena uwanjani daniel james isipokuwa kwa mechi maalumu, shughuli itakuwepo huko upande wa kushoto
hata champions leagueFa na carabao cup?
Kwa sahivi kikosi kishakuwa kipana kazi kwakwe kuzichanga vyema karata zake tuhata champions league
Unajaza jaza vichezaji vingi vya kipuuzi mwisho wa siku vinatuangusha, hivi vikina James, Trashford, Martial, Lingard, et al wenye uwezo km wao ndio sababu ya cc kufanya vibaya kila msimu, fukuza hivi vitoto ni average hivi.Amewajaza haraf kuwatumia hajui rashford anarejea kuna lingard dialo james bado martial wote mawinga hao ngoja tumuone kocha wetu
Unajaza jaza vichezaji vingi vya kipuuzi mwisho wa siku vinatuangusha, hivi vikina James, Trashford, Martial, Lingard, et al wenye uwezo km wao ndio sababu ya cc kufanya vibaya kila msimu, fukuza hivi vitoto ni average hivi.
Wameona nini msimu huu mpaka wameamua kurudi hawa wahindi...........
Waache wafu wawazike wafu wao[emoji28]Nyie matakataka Leo tunamnywa arse8 ili iwe fundisho kwenu ..maana ninyi ni wateja wao
labda mshinde njaa1. City has thrashed norwich 5 nil and eaten up on our goal difference gap. this puts our leading position at risk in average.
2. Nimeangalia game ya Liver. wana moto wa 2019/20, hawakuwa na bahati wangefunga goli nyingi sana leo.
Kesho tunatikuwa kushinda kuanzia goal 3+ ili kujiweka kwenye safe position, tunachohitaji kwa sasa ni kujenga mentality ya kujiamini.