D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Tena hili suala limeanza baada ya babu kustaafu, yn kununulika wachezaji wetu ni issue kubwa mno, utakuta mchezaji amepelekwa kwa mkopo timu fulani, akifika kule anaupiga mwingi kuliko SSH na wanamkubali ila pesa hawana sijui wanatuchukuliaje hawa mabunga zeze.narudi tena na hili swali japokuwa chief mkwawa alijaribu kunipa majibu, kwa nini vilabu vyengine mfano wa chelsea na liverpool hufanikiwa kwa urahisi sana kuwauza wachezaji wao lakini kiupande wetu huwa ni tofauti?
kwa jicho la kawaida ukiangalia hapo utagundua chelsea mpaka sasa wana net spending ya paundi millioni 5 baada ya kumnunua lukaku kwa paundi millioni 98 (kwa mujibu wa sky sports).
axel tuanzebe, jesse lingard, andreas perreira, diogo dalot, brandon williams, eric bailly, daniel james, nemanja matic.
hawa wote mbona hawauziki?
View attachment 1895507
Bado watu watasema tumepigwa kwenye usajili.narudi tena na hili swali japokuwa chief mkwawa alijaribu kunipa majibu, kwa nini vilabu vyengine mfano wa chelsea na liverpool hufanikiwa kwa urahisi sana kuwauza wachezaji wao lakini kiupande wetu huwa ni tofauti?
kwa jicho la kawaida ukiangalia hapo utagundua chelsea mpaka sasa wana net spending ya paundi millioni 5 baada ya kumnunua lukaku kwa paundi millioni 98 (kwa mujibu wa sky sports).
axel tuanzebe, jesse lingard, andreas perreira, diogo dalot, brandon williams, eric bailly, daniel james, nemanja matic.
hawa wote mbona hawauziki?
View attachment 1895507
Hili ni tatizo lililodevelop recently kutokana na kuwa na panic mode kwenye bench letu. ndio maana management imeamua kustick na OGS. Ile fukuza fukuza ya makocha hayo ndio matokeo yake.Still wachezaji wetu kuna wasiostahili kuwepo kwenye kikosi na wengine mishahara yao haiendani na viwango vyao.
Ya mwaka ganiHehehehee Rivaldo ana balon d'or kabatini.
narudi tena na hili swali japokuwa chief mkwawa alijaribu kunipa majibu, kwa nini vilabu vyengine mfano wa chelsea na liverpool hufanikiwa kwa urahisi sana kuwauza wachezaji wao lakini kiupande wetu huwa ni tofauti?
kwa jicho la kawaida ukiangalia hapo utagundua chelsea mpaka sasa wana net spending ya paundi millioni 5 baada ya kumnunua lukaku kwa paundi millioni 98 (kwa mujibu wa sky sports).
axel tuanzebe, jesse lingard, andreas perreira, diogo dalot, brandon williams, eric bailly, daniel james, nemanja matic.
hawa wote mbona hawauziki?
View attachment 1895507
The saddest story about that, you're no-fkn-where near Manchester United UCL, PL titles in total.Since manchester United last won the premier league..
-Chelsea have won UEFA Super cup
-Chelsea have won champions league
-Chelsea have won Europa league (2 times) .
-Chelsea have won FA cup.
-Chelsea have won premier league (2 times)
-Chelsea have won english league cup..
#footballchallenge
Tell the world premier league is Blue !!
Mmeshaanza kuleta historiaThe saddest story about that, you're no-fkn-where near Manchester United UCL, PL titles in total.
Claiming winning a Europa League shows how your small club was busy fighting WiFi password clubs to win a mickey mouse cup while The Famous Man. Utd was building its legacy, look what haunts you now.
Huyo wa Chelshit kaanza na historia naye kajibiwa kwa historia, au unajaribu kusema makombe yote hayo chelshit kayachukua msimu huu..?Mmeshaanza kuleta historia.......ndo mnapokimbilia huko
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Najaribu kuongelea overall ...mnapokosa makombe nyumbu mnakimbilia historia Tu huku mkipata maumivu makali moyoni kama ndo njia ya kujifarijiHuyo wa Chelshit kaanza na historia naye kajibiwa kwa historia, au unajaribu kusema makombe yote hayo chelshit kayachukua msimu huu..?
Tupo humu ndani. Nachukua uefa ya tatu ukiwa bado unashangaa.The saddest story about that, you're no-fkn-where near Manchester United UCL, PL titles in total.
Claiming winning a Europa League shows how your small club was busy fighting WiFi password clubs to win a mickey mouse cup while The Famous Man. Utd was building its legacy, look what haunts you now.
Mkuu ni ngumu sana kumrate Sancho kwa dakika 15 na Lucas Moura.guys mnawa rank vipi lucas moura v/s sancho?