The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Bruno angekuwa muingereza angeuzwa zaidi ya £300M.Hahaha kuna watu waliwahi kutoa maoni hapa tumnunue. Sina imani kabisa na pesa inayowekwa kumnunua mchezaji wa kiingereza (ni sawa na mtu anayenunua choo cha dhahabu). Can you imagine Grealish ana thamani kubwa kuliko Bruno?
Pale mbele mna kiroba cha kilo 100 akitaka kufunga sharti aheme kwanza aweke mpira vzr ndo apige, hongereni wakuuTofauti ya Chelsea na Manchester United ni kwamba Chelsea tuna kocha bora.mna kikosi kizuri but Chelsea tuna kikosi kizuri zaidi kila eneo tupo vizuri.
Kane is overrated.graeme souness syndrome
Micah Richards: "Kane's not turned up for training and we're calling him a saint, Pogba's never said he wanted to leave #mufc but he's getting abuse.
Sure.Bruno angekuwa muingereza angeuzwa zaidi ya £300M.
Wapumbavu sana hawa jamaa.
Kane yuko vzr mkuu huwezi kumfananisha na baadhi ya takataka zilizopo kwetu mfano kina Martial na James ila co kwa price tag ile.Kane is overrated.
Labda aondoke bure. Ila hakuna timu yenye akili timamu ikamchukua harry kane.
Ushirikina hata ulaya upoVipi bado hajafukuzwa tuu...
unataka kuwafanyia mipango ya kuwahamishia brentfordWakuu mwenye namba ya Mason greenwood and Nemanja matic anisaidie. Nimerinyuu laini nikapoteza namba zote.
Vipi unataka kuwauza uwalete Seydou Keita na Bafetimbi Gomis auWakuu mwenye namba ya Mason greenwood and Nemanja matic anisaidie. Nimerinyuu laini nikapoteza namba zote.
Vipi unataka kuwauza uwalete Seydou Keita na Bafetimbi Gomis au
Nataka kumshauri aende Aston villa ili watupe McGin. Tukimpata tu tunabeba uefa mkuu.
Mkuu hivi hatuwezi kumrudisha tom clevery....kati pamepwaya.Nataka kumshauri aende Aston villa ili watupe McGin. Tukimpata tu tunabeba uefa mkuu.
Habari za chelsea na Man city unaleta malalamiko kwenye uzi wa Man United!!!!!Mmeng'ang'ania grealish mnataka acheze mnavyotaka kama kwenye PS ,tutaliona lilepipa la €115 million pale Chelsea
Lindelof atawakalisha tu na juzi kaanza na assistnasubiria vita ya varane dhidi ya lindelof, najua maguire hatoguswa
The guy is so optimistic amekosolewa sana misimu miwili iliyopita lakini hajawahi kupaniki wala kulalamika.nasubiria vita ya varane dhidi ya lindelof, najua maguire hatoguswa
Mbn mpira ni mchezo wa wazi kabisa mkuu, haya mambo ya utaalamu wa kuchambua mpira huwa ni baada ya vitendo kufanyika lkn makosa huwa yanaonekana wazi tena dhahiri shairi.The guy is so optimistic amekosolewa sana misimu miwili iliyopita lakini hajawahi kupaniki wala kulalamika.
Kuna kipindi unaona kabisa hili ni kosa la slab head ila watu watakuja hapo kosa ni la Lindelof.
Ngoja tusubiri hii vita naona Bailly yeye kashapoteza pambano kabla ya kuingia uwanjani.