Manchester United (Red Devils) | Special Thread

James bado hajui anachokifanya anakimbia tu, Pogba nae mambo mengi sana anapoteza mipira ingawa katoa assist kali sana.
Mechi nzuri battle ya midfield refa kaacha wauwane inapendeza.
Katoa assist tano sasa bado unasema anakimbia tu ?
 
Mkuu uwe unafuatilia taarifa za timu siyo unakimbia kutoa lawama tu.
Taarifa zipi nisaidie. Uelewa wangu ni kuwa Rashford akiwa fit na Cavani yupo, Lingard hawezi kupata nafasi. Kama OGS ameamua kumuacha nje Martial na Sacho ilikuwa chance kwa Lingard.
 
Hamia Arsenal kwenye kocha mzuri
Ukwl lazima usemwe MKUU,,msimu uliopita tuli drop Point kizembe sana ,tukazinduka mwisho baada ya kuja cavani.

Kwann haweki kikosi kizito?
Huo mfumo tukikutana na timu kubwa tunapata shida sn..
Kuna ulazima Wa kuwapanga fred na Mac tomy pamoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…