Usikeleke!! Mbona km hoja zenu wote zinafanana? Yeye anajaribu kueleza kuwa hao wote ni viungo wa kati (Central Midfileders). Kinachowatofautisha ni roles & positions wawapo dimba.Mkuu unaubishi wa kitoto sana na unaokera sana sometimes.
Kunatofauti kubwa sana kimajukumu kati ya DM/CDM, CM na CAM.
Unajua nini maana ya kiungo mkabaji ?
Unajua nini maana ya kiungo wa mchezeshaji ?
Unajua nini maana ya Kiungo Mshambuliaji?
Vizuri sana.hao wote DM, CDM,Mkuu unaubishi wa kitoto sana na unaokera sana sometimes.
Kunatofauti kubwa sana kimajukumu kati ya DM/CDM, CM na CAM.
Unajua nini maana ya kiungo mkabaji ?
Unajua nini maana ya kiungo wa mchezeshaji ?
Unajua nini maana ya Kiungo Mshambuliaji?
Mimi nilikuwa na wasi wasi sana toka day one Amad anasajiliwa mpaka kesho naamini Amad hatacheza Manchester unitedView attachment 1889659
Atalanta walitupiga na kitu kizito kwenye hili dili, mchezaji wa paundi millioni 30 anatolewa kwa mkopo.
wengi wao watakuja kunipinga, najua watakapojifichia.
dogo ana kipaji
Rashford hayupo kwa miezi mitatu mfululizo am worriedMy Starting XI vs Leeds
======
De Gea
AWB Lindelof Maguire Shaw
Matic Fred
Greenwood Fernandes James
Martial
=======
Fitness issues concerned..hicho ndo nahisi kitakuwa kikosi chetu jumamosi.
3points ni muhimu,tusianze kama last year tulivyochezea OT dhidi ya Crystal Palace.
Yupo sancho lakini pia cavani akirudi martial ataanzia pembeniRashford hayupo kwa miezi mitatu mfululizo am worried
Cavani likizo yake imekuwa extended maana kama kucheza tutegemee Mwezi September hukoYupo sancho lakini pia cavani akirudi martial ataanzia pembeni
Wanini ?Kwa hiyo Man Utd haikutaka hata kujaribu kumsajili Messi
Dah...haya bhana
Mna hela nyie hata za kununua boxer ya mess ....Kwa hiyo Man Utd haikutaka hata kujaribu kumsajili Messi
Dah...haya bhana
Wa kuleta kitu tofauti pale United,Wanini ?
Tutulie tujenge kikosi cha muda mrefu akitoka Cavani tumsajili Patrick SchickWa kuleta kitu tofauti pale United,
Kama tuliamini Cavani kwa umri wake anaweza kutusaidia (na anatusaidia kweli)
Kwanini isiwe La Purga, nina imani angekuwepo Banker na Mchumi Ed angefanya dili litokee ...
Ukiacha mpira/mataji, Messi is money brother