Manchester United (Red Devils) | Special Thread

sosha anasema yuko sawa na kikosi chake ok ngoja tuone asije kuanza visingizio badae huko maana naona msimu utakua wa moto sana huu tukicheza makida yetu top 4 tutaisikia kwenye bomba. Ubingwa bado sijawaza ngoja tucheze hata mechi 10 nione kama tumebadilika kiuchezaji.
 
Kila siku huwa anasema hivyo
 
Leo tunaenda kuwalamba lamba wale ma ex zenu villareal ..tu tafuta aibu mliyopata ..semeni asante Chelsea..
Chelsea 3-1 Villarreal
 
Mkuu unaubishi wa kitoto sana na unaokera sana sometimes.

Kunatofauti kubwa sana kimajukumu kati ya DM/CDM, CM na CAM.

Unajua nini maana ya kiungo mkabaji ?

Unajua nini maana ya kiungo wa mchezeshaji ?

Unajua nini maana ya Kiungo Mshambuliaji?
 
tumeachana na mpango wa kusajili mlinzi wa kulia anayeitwa kierran trippier kwa sababu ya dau lake kubwa lililowekwa na atletico madrid, upande wa pili klabu ya AC Milan imeshindwa kuafikiana na man utd juu ya usajili wa diogo dalot kwa mkopo.
hivyo mpinzani wa wan bissaka atakuwa ni diogo dalot, eneo linaloangaliwa zaidi kwa sasa kabla ya kufungwa kwa dirisha ni midfield.
 
Me naona poa tu, kutokana nibora tubane matumizi tu kwa upande huo (beki ya kulia) kutokana kwanza teyari kusha sajili wenga ambae atasaidiana na wawili kati yao katika upande huo wa kulia.
Ni bora kama pesa ipo tungialie upande mwingine mwa nafasi.
 
Hujui unacho kiandika....fred na tom ni wachezeshaji? Au hao uliowataja na bruno wanatofauti gani katka roles on the pitch..
Msome vizuri jamaa utamuelewa.

Kuna kiungo mshambuliaji na kiungo mchezeshaji(deep- playmaker).
Bruno ni huyo wa kwanza.
Bado tunamhitaji huyo wa pili. Tulitegemea Pogba angecheza hiyo nafasi., Yaani kuichezesha timu.
Tatzo PP hana discpline ya kucheza kiungo cha chini. Anapoteza mipira sana. Kitu ambacho kwenye eneo analocheza hatakiwi kufnya hivyo, ni karibu na Goli.

Either apatikane pure DM ili acheze na Pogba na Bruno kwenye 433.

Au DLP acheze na defensive 8, Fred au MCT (Japokuwa nao hawatoshi).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kufungwa na good ebening ni dharua isyo sameheka
almaski
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…