Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uko sahihi kabisa
 
Wan Bissaka ana tatizo gani? Hadi mmfikirie trippier. Mimi naona dogo yuko poa sana. Sema ana Majukumu mazito ya ulinzi kiasi kwamba kwenda mbele imekuwa tabu. Kukiwa na set piece ikikosewa anasaidia kuizima, mawinga anaua, so ukiangalia kule mbele wanavyopoteza poteza ovyo mipira si ikipigwa counter upande wake tutaanza kulalamika hajui kukaba kisa anafanyia ushauri wenu wa kushambulia (modern fullback)

Mimi naona mzigo wa ulinzi ukipungua kwa kuwa na Dm pamoja na CB wa kueleweka, plus Sancho kuwa mwiba kiasi kwamba upande wa kulia unaonekana kama offensively dogo atakuwa bonge la mchezaji.

Ni hayo tu.
 
Plan B muhimu sana. Tunahitaji back up upande wape
 
Pia kuna baadhi ya formation zinahitaji attacking wing backs, kwa Bissaka tunafeli sana. Upigaje wake cross bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…