I co-sign this.First 5 fixtures;
1. Leeds United (H)
2. Suothampton (A)
3. Wolverhampton (A)
4. Newcastle United (H)
5. West Ham United (A)
Tusipopata points 15 hapa Ole aondoke.
David Degea kwa sasa ni moja kati ya weak link ktk safu ya ulinzi hafai kuanza mbele ya Dean.Namna hii:
DE GEA
AWB , MAGUIRE , VARANE , SHAW
(CDM) , POGBA
BRUNO
SANCHO , MARTIAL
CAVANI
Mkuu, Ruby inachimbwa chini ya ardhi, tena haina kipimo (kama cha dhahabu) kujua mahala hapa ipo ama haipo.Hivi ruby ina thamani sana eehh na je inachimbwa chini au ndo km nilivyoaminishwa inatoka kwa samaki.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hapo manaake ina thamani kuliko dhahabu, almasi au hata Tanzanite.Mkuu, Ruby inachimbwa chini ya ardhi, tena haina kipimo (kama cha dhahabu) kujua mahala hapa ipo ama haipo.
Ni mchezo wa bahati na sibu tu.
:::::::::::::::::::::::::::::::::::::
Ruby gram nne yenye sifa zinazo hitajika (shepu mzuri, rangi iliyo kolea) unauhakika wa kuiuza mpaka Dollar 2000,000 (dollar milioni mbili) ukiwa na aidia nayo.
Cha muhimu uwe na idia nayo tu.
Hapo manaake ina thamani kuliko dhahabu, almasi au hata Tanzanite.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Sasa c muondoke kwenye huu uziSaizi uzi umegeuka wa kujadili mambo ya migodi, hamna timu hapa.
Nimeanza kusoma nilipofikia hapo kwenye 'Triple Uefa' ubongo akaacha kuchakata data fasta...daaah!Varane wako wawili tofauti. Yule wa triple uefa na huyu sasa ambaye hata Zouma anaweza kumficha ndo umfananishe na Rio Ferdinand?
Huyu Henderson mule mule tu kama Degea ..juzi mlivyopigwa 4 na QPR nani alikuwa langoni?
Bado sijaona wa kumkata namba Pogba.
Kama unategemea Sancho ndo aje abadilishe ile front yenu basi hapo mtakuwa ni sawa na mnatwanga maji kwenye kinu.
Cavan na Bruno wanaweza wakawapeleka popote lakini siyo kwenye makombe.
Almasi ndio ya kwanza ikifuatiwa na Ruby.Hapo manaake ina thamani kuliko dhahabu, almasi au hata Tanzanite.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Umetukosea sanaKwa mashabiki wenzetu mutusameh kwa kuchanganya mafuta na maji.
kama vile unaishi nao nyumba moja. wabongo bwana hahabaKipa Degea - kesharidhika na maisha
Beki Varane - keshabeba kila kitu
Kiungo Pogba - hana furaha na manure
Mshambuliaji Sancho - ni Rashid aliyechangamka.
Martial, Matic, Mata - hawa muda wao unazidi kuyoyoma.
Bruno nzuri lakini siyo wa kuleta makombe.
Mruguayi yule atawabeba kidogo lakini baadae atachoka.
Siyoni hii Manure ikifika hata robo fainali uefa. Achilia mbali ligi..
Huyu Ole naona atakuwa ni Failed Project siku za usoni..
Hata Cavan mlisema the same ,,sishangazwi na wachambuzi uchwaraVarane huyu sio Yule wa miaka ya nyuma wanachukua uefa 3 consecutively ...alishatoka kwenye peak yake muda ni hakimu sahihi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Usipofungika kirahisi utakosaje makombeOhooo saiv bek ndoo analeta makombe au cjaelew vzr
Hamna kitu hapo Cavani naye umri umeenda NI suala la muda TuHata Cavan mlisema the same ,,sishangazwi na wachambuzi uchwara
Time will tell mkuu,,lakini namuamini sana jamaa,,Varane wako wawili tofauti. Yule wa triple uefa na huyu sasa ambaye hata Zouma anaweza kumficha ndo umfananishe na Rio Ferdinand?
Huyu Henderson mule mule tu kama Degea ..juzi mlivyopigwa 4 na QPR nani alikuwa langoni?
Bado sijaona wa kumkata namba Pogba.
Kama unategemea Sancho ndo aje abadilishe ile front yenu basi hapo mtakuwa ni sawa na mnatwanga maji kwenye kinu.
Cavan na Bruno wanaweza wakawapeleka popote lakini siyo kwenye makombe.
DM world class wapo wengi,,si lazima huyoUko tayari kutoa zaidi ya £80m ili kumpata Declan?
Huo muda tulionao ndy tutabeba this time.Hamna kitu hapo Cavani naye umri umeenda NI suala la muda Tu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app