Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Takwimu zetu kabla ya Maguire yaani msimu wa 2019/2020 na 2020/2020 tulikuwa hatutumii kabisa set pieces kufunga magoli mpaka ujio wa Bruno ndiyo umeleta uhai kidogo.

Kingine kwenye kujilinda kwenye set pieces ni Maguire pekee ambaye angalau kwenye kikosi chetu alionekana kuzicheza nyingi sana.

Fanya Review ya magoli mengi tuliyofungwa mimi nakumbuka goli la Southampton na Westham tu
 
Mambo vipi mashetani wekundu ..

Timu lenyewe linajiita shetani harafu linataka kuchukua league msimu huu
 
Maana yake sisi Man United tumetapeliwa. Maana hizi new signed tulizoingiza ni matakataka tu mfano varane keshabeba kila kitu unadhani kuna kipya ataleta hapa??
Kama hufatilii wachezaji na huwajuwi kaa kimya mkuu,,


Varane kakataa ofer ya Madrid.si kwamba alikuwa ameachwa au hana namba.
Kaondoka Madrid bado wanamuhitaji,

Varane ni beki kitasa na anaanzisha mashambulizi..
Amekuja kusawazisha makosa ya mabeki tulionao.

Usibabaishwe na hiyo pre seasons matches.
Hakuna first timu hapo.
 
FUNNIEST FACTS: 🤣🤣🤣

Between Chelsea FC and Manchester United signings;

💰Big money signings:

Chelsea FC;
👤Kai Havertz £72M ➡️🏆 UCL.
👤Morata £57M ➡️🏆FA Cup.
👤Torres £50M ➡️🏆 UCL,UEL, FA Cup.
👤Kepa £71M ➡️🏆 UEL, UCL.
👤Werner £47M ➡️🏆UCL.
👤Bakayoko £40M ➡️🏆FA Cup.
👤Chilwell £40M ➡️🏆UCL.

Manchester United;
👕Di Maria £60M 👉 Won nothing.
👕De Pay £35M 👉Won nothing.
👕Maguire £80M 👉Won nothing.
👕Wan Bissaka £60M 👉 Won nothing.
👕Fernandez £55M 👉Won nothing.
👕Lukaku £75M 👉Won nothing.

Sancho and Varane to join the list. 🚶‍♂️🚶‍♂️

🤣🤣🤣...
 
Depay won nothing? U must be crazy!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…